Kuna courses nyngne lazima uwe makin nazo 7bu huwa ht ukienda kwa soko la ajira huwa hazielewek unaajiriwa km nan maana utakuta ht kwny kitabu cha ajira haipo,usiishie humu tu uliza na kwngne
Hakuna aliye juu ya Sheria Ukiforce utatia aibu tu,hiki ndicho kinachotokea ktk serkali hii ya awamu ya 5 kitendo cha raisi kujitahid sn kuwa juu ya sheria kwa makusudi kwa maamuzi binafsi huku akiweka kando sheria zilizo ndani ya katiba na badala yake kutumia amri zake kitu ambacho wafuatiliaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.