Recent content by Mjomba Nchumari

  1. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Ndiyo nini?
  2. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Ok ... its good !!!
  3. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Usajili TCRA - Haipungui 1m Kamera mpya - 1.5m - 2m Laptop mpya - Laki 6 - laki 7 Recording kit (audio) - Laki 5 Vifaa vingine kama wireless Mike, flag mike, flash au External na camera stand - Laki 5. Gharama za uendeshaji ( Internet router na Internet yenyewe n.k Piga hesabu !!
  4. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Asante Mkuu !! ... Naelewa suala la uaminifu muhimu ... ila mimi najua ninachokifanya na malengo niliyonayo
  5. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Ya kuanzia kusimamisha brand !! ...
  6. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Kumbe we unajua YouTube ni ya bure tu?, sawa lakini fahamu kuwa mimi nimefanya hizo kazi nina uzoefu ... sehemu niliyofanyia kazi iilikuw inaingiza hadi milioni 5 kwa mwezi kupitia YouTube !!! Soma tena jinsi gani YouTube inaweza kukuingizia kipato !!!
  7. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Mimi ni Journalist mzee, nimefanya miaka 5 as Social media manager ... cha kufahamu ni kwamba kupost news ni professional ..
  8. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Habari za kazi wakuu !! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uhai na kuendeleza harakati za maisha, niko hapa kutafuta mtu aliye serious tufanye biashara ya Online Media. Mimi nina uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi hizi ninaweza kuendesha (manage) page zote kuanzia Facebook, YouTube, Instagram...
  9. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki TVS yenye CC 125

    Bajeti yako ni kiasi gani tufanye biashara
  10. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Accountant

    Anahitajika Accountant VIGEZO -Uwe na degree or diploma kwenye accountant -Uwe mkazi wa Tanga Tuma Cv yako WhatsApp 0752965879(usipige sim)
  11. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Nurse/Medical Assistant

    Asante
  12. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki TVS yenye CC 125

    Used au mpya?
  13. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Nurse/Medical Assistant

    Hello kwema? Natafuta Nurse/Medical Assistant awe amekamilika vyeti vya taaluma husika. Eneo la kazi ni Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi Dar es Salaam. Awe tayari kufanya kazi shift za usiku, akiwa maeneo karibu na hayo itapendeza. Akiwa tayari hata leo aje aanze kazi, mshahara...
Back
Top Bottom