Recent content by Mjomba M Mjomba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Camel Concrete: Wakandarasi Tutawaogopa kama Ukoma

    Mkuu afadhali hii mara elfu kuliko kumpelekea mteja zege lililo chini ya kiwango. Wateja wao wanapata kadhia kubwa sana. Fikiria zege lisilokauka. na upo sakafu (floor) ya tatu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Camel Concrete: Wakandarasi Tutawaogopa kama Ukoma

    Nimeshasema subiri evidence zinakuja zitasema kila kitu , hayo ya mchangiaji na mtoa mada ama aliyeliwa kichwa sio hoja ya kutatua tatizo . Badilikeni haraka. Ama Stay tuned.......................
  3. M

    JamiiForums Tanzania Camel Concrete: Wakandarasi Tutawaogopa kama Ukoma

    Hii ni tahadhari : Hii Kampuni yenye vinu Huku Mbagala na Eneo la Gereji Mandela Road Dar Es Salaam , inahusika na utengenezaji , uuzaji na usambazaji wa Zege kwa wateja ambao ni wakandarasi na watu binafsi kwa ajili ya ujenzi wa majengo makubwa na ya kati, Nimegundua kuwa hawa Camel Concrete...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiiiii!

    Hodi Humu Jamvini.
Back
Top Bottom