Recent content by mjogoro

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Hakuna ambacho Simba anaweza kufanya kuwarejeshea furaha mashabiki wake. Wajipange wafanye vzr next season. Mengine hayana kiki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Israeli: Taifa teule

    Kwahiyo Wapalestina walitoka wapi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Adebayor: Watanzania mpo tayari?

    Mmmmmh tuwe waungwana jamani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kukumbukwa leo Simba kapasuliwa na Yanga Kirumba

    MATUKIO sio matokeo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Leo kuna hamasa kubwa sana kwa Mashariki wa Simba

    Leo mashabiki wa Simba hasa mitandaoni wanaonekana kuwa na matumaini kibao tofauti na wenzao wa Yanga. Sijui ni kwanini.
  6. M

    JamiiForums Tanzania DTB yaanza kishindo NBC, Ntibazonkiza asaini miaka miwili

    DTB imemaliza ligi chini ya Ihefu. Haina jipya lolote
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga yamalizana na Saidoo Ntibazonkiza.

    Timu mbovu....mmmmh haya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

    Muda aliocheza hautoshi ku-draw conclusion kuwa ni mbovu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

    Dunia ya sasa tayari imeendelea sana. Si lazima u-trade na kila nchi ili uwe na mustakbali mzuri wa uchumi. Pia kuna namna nyingi za biashara kufanyika ktk hali yoyote ile (ukizingatia kuwa hata wao Russia wanategemewa na mataifa mengi kwa bidhaa zake)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

    Naheshimu mawazo yako bila kujali kiwango chako cha uelewa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Saido na Ambundo watimuliwa kambini yanga

    Ndo hapo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Si alijiona mwanaome. Apambane
  13. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wa-Ukraine wa Handeni
  14. M

    JamiiForums Tanzania Saido na Ambundo watimuliwa kambini yanga

    Mmmh kvp
Back
Top Bottom