Kuna majini walio amini na majini walio kufuru/ wao wanaishi ulimwengu wa giza wameumbwa kwa moto sisi tumeumbwa kwa udogo
Majini walio kufuru ndio hutumiwa na binadamu walio kufuru ila majini walio amini atumiwi na mtu wowote
Mungu anasema amemuumba binadamu na majini ili tu tumuabudu yeye...
Kukutana na mtu kimwili si kwa kujifurahisha tu ni kifungo cha Nafsi ( Spiritual bond soul tie.)
Angalia Kwa Umakimini ni nani unakutana naye kimwili??, Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki kwako, Ndiyo maana unaweza ukakuta watu wengine wabaya sana,wakatili,wengine ni kama...
Mimi ni muislam na mke wangu ni muislam ila mtoto wangu wa kike ana miaka mitano na mama yake tayari anaaza kumfundisha usafi kama vile kusafisha maeneo yake anapo kojoa anapo amka asubui lazima ajisafishe anamfundisha kufua chupi yake anamfundisha kuva chupi mara moja tu kwa siku
Sasa uyu...
Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa na kipekee sana wahafidhina ndani ya Serikali na chama Tawala ambao wanajaribu kukwamisha au...
Pole ila jua hiyo ni biashara ya police na wezi POLOSI WA SASA SIO WAAMINIFU
NA kesi aipo maakamani ola simu imerudishwa pale pale ulipo ichukua inaendelea kuwinda wengine.
UNAJUA WAZUNGU WANA AKILI SANA DADEKI[emoji23][emoji23] just imagene natoa elimu ya historia ya mtu mweusi alafu mtu mweusi ndo anakua wa kwanza kukataa na kujidharau na kusema mweusi hajui chochote zaidi ya kurogana wacha nikuambie Wazungu walicheza na falsafa ya TAKE THEIR BRAIN LEAVE THEIR...
MAISHA YA MWANADAMU NI HATMA
Ulishawahi kujiuliza kwamba Maisha yetu yote ni hatma iliyopangwa au tunaishi kwa muongozo wa akili zetu kwa kufuata kanuni za maisha yetu.
Ni kawaida sana kwa watu wengi kusema kuwa kila kitu maishani kimepangwa na kila mwanadamu ataishi kwa mipango yake kwa kadri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.