Recent content by Mjita wa Musoma

  1. Mjita wa Musoma

    Nifanyeje ili niweze kupata vyeti nilivyopoteza

    Habari zenu wadau, Nipo mbele yenu kuomba ushauri nifanye nini baada ya kupoteza vyeti vyangu vya shule ambavyo: Cheti cha chuo VETA Academic ya form 4 Living Birth Naomba ushauri nichukue hatua gani ila nina soft kwenye flash niliwahi kuviscan
  2. Mjita wa Musoma

    Karanga leather industry comp ltd

    Mwaka jana mwezi wa 12
  3. Mjita wa Musoma

    Karanga leather industry comp ltd

    Jamani naombeni kuuliza kwa waliowahi kufanya interview katika kiwanda cha viatu cha Moshi, maana tangu interview kufanyika tumesubiri mpaka leo kwa mwenye taarifa zaidi anijuze.
  4. Mjita wa Musoma

    Wahudumu wa Baa wanahitajika

    Andika kiwango cha mshahara punguza mbwembwe
  5. Mjita wa Musoma

    Gesti za bongo

    Nyau
Back
Top Bottom