Recent content by mjinishure

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafafuta kazi au sehemu ya kujitolea nina diploma ya IT

    kwanza hongera kwa hapo ulipo fikia pili nasikitika sana na elimu zetu za hapa tanzania hazina uelewa juu ya maswara haya ya IT vyuo vikuu vimebaki nimajina tuu mala UCC mala DIT namengine mengi chakushangaza nihapa umesema umesoma CCNA Kwautaratibu CCNA cheti chake kinatolewa na CISCO tuka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama upo kwenye mahusiano miaka 2 na msichana na hujaona chozi lake, huyo hana mapenzi ya kweli

    Kwenye hii mada nimeona dada zetu mmejitahidi sana kujibu hasa nafikiri kwavile nyinyi ndio walengwa ila unabaki kuwa nisili kwakua kila mmoja wenu anakilio chake ambacho huzani hutoa ishara kwayule mlengwa wa hicho kilio japo kwenye ukweli na uongo upo ila ndio ukweli wenyewe ngoja nijalibu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama upo kwenye mahusiano miaka 2 na msichana na hujaona chozi lake, huyo hana mapenzi ya kweli

    Leo nimeona nilete hili jambo, katika ujana wangu nimebahatika na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya msichana mmoja ila kitu nilicho gundua hata wewe jalibu kufanya utafiti kama upo kwenye mapenzi na mwanamke zaidi ya miaka miwili na hujabahatika walau siku moja kuona machozi yake basi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msinichoke bado natafuta kazi

    kwamaelezo yako inaonekana we ni mkarimu sana hivyo kunawakati maisha yanakua nikusaidiana mimi sina kazi ya kukupa ila natafuta mwanamke wakuoa mwenye malengo kama wewe siku utakayo itaji kuolewa usiache kuja inbox napia uwe tayari kuhamia dar nakutakia utafutaji mwema
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    kaka we acha tuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    umesema kweli ndugu tatizo mapenzi ya siku izi mengi yamejaa uongo ndio mana wakati mwingine unaona ujaribu kumbe unapo jaribu ndio penyewe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    msimamo upi kaka niweke wazi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    sasa unanishauri vipi niendelee kukaa kimya tuu huku yeye anateketea mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    nazani kama umesoma vizuri ujumbe wangu hapo mwanzo sikutarajia kama ingekuja kufikia hapa nilijua niwalewale madada wamjini walio weka pesa mbele
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    duuu asante kaka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    hapo ulipo malizia kaka ndio umenichanganya kabisa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    kaka yani kwao hawataki hata kunisikia baba yake niwale sijui wenye itikadi kali yani hataki hata kulitaja jina langu ananiita sijui kafiri
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    duuu kaka ndio kusema wakimwaga mboga wewe mwaga ugari
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    asante kwa ushauri wako
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, Dini inakwamisha uhusiano wangu na binti huyu

    kaka inaweza ukawa ushauri wako nimzuri ila unapaniki mapema sema nimekuelewa
Back
Top Bottom