Huyu Prof. analalamika kuchelewa kwa mshahara na kutopewa nyongeza ya mshahara ya mwaka 2012-2013. Hii ni tofauti na jamaa hapo juu anayedai kutopata mshahara kwa mwezi wa tatu sasa, which I think is a misconception. Ingekuwa mishahara haijatoka kwa miezi mitatu UDSM kungewaka moto
.
Wima, pole sana mkuu. Nimekua nikisikia malalamiko kama yako kwa vijana wengi tu. Ninavyofahamu ni kwamba fresh graduate pamoja na kwamba anakuwa hajafanya kazi kwa malipo anakuwa expected awe na experience inayopatikana either from field work au internships. Most countries mtu akimaliza chuo...
Mambo vipi wakuu? Kuna bwana mdogo wangu aliitwa for written interview I-TECH, tumbo joto hajui kama amepita au la and he doesn't want to call their office. Kuna wadau wowote waliofanya wakaitwa kwenye oral interview? Appreciate.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.