Recent content by MJIMPYA

  1. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza TANESCO imepata faida ya Shilingi Bilioni 110. Hongera Maharage Chande

    Tanesco imeanza kupata faida muda na imekuwa ikipanda kila mwaka. Angalia jedwali hapa chini.
  2. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania EWURA yawataka Wadau wa Gesi Asilia kufuata Sheria

    Siku hii nchi ikijua madhara ya udhibiti uliopitiliza ndo siku tutatoka. Watu wanaona sifa kudhibiti kila kona kuliko biashara kufanyika. CNG kwa magari imeanza karibia miaka 10 sasa, cha ajabu magari yaliyobadilishwa ni machache mno, hata hao EWURA na TPDC bado hawatumii gesi, wameshikilia...
  3. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania CRB- Usajili wa kampuni

    Natafuta msaada wa jinsi ya kusajili kampuni class6 CRB. Mwenye uzoefu wa jinsi ya kusajili karibu inbox.
  4. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania Natafuta tairi size 175/80/R16

    Mwenye hiyo tairi ya gari ya size tajwa tuwasiliane chap. Moja au 2. Mpya au hata kama imetumika iwe na hali nzuri. Niko DSM. Hakikisha ina size hiyo.
  5. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania OFISI YA KUPANGA INATAFUTWA

    Kampuni ndogo inatafuta ofisi ya kupanga. Iwe maeneo mazuri kama vile mikocheni, kinondoni, magomeni, Sinza, Mwenge, n.k. Bajeti mwisho laki 5 kwa mwezi. Huduma muhimu ziwepo. Pm kama unayo.
  6. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya minazi inauzwa

    Kigamboni mbutu.
  7. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya minazi inauzwa

    Mifupi
  8. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya minazi inauzwa

    Miaka mi 3 mkuu.
  9. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Crane bei gani?
  10. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya minazi inauzwa

    Miche ya kisasa ya minazi inauzwa. Sh8,000 kwa mche. Niko Dar. Piga 0766940202
  11. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji viroba vya kuhifadhia nafaka

    Msaada wadau, Natafuta magunia (viloba) kwa ajili ya kuwekea mazao. Hasa yale ya 100kg kwa bei ya jumla. Mwenye kujua bei. Navitaka hapa kwetu Sumbawanga. Asanteni. Tuma Meseji 0620 484 081 kama unavyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la majani ya Mlonge

    Wadau Salama? Natafuta soko la majani ya Mlonge. Kama kuna mtu anahitaji au anazo taarifa za soko tafadhali tupeane taarifa hapa au PM. Asante.
  13. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania Pajero IO GDI inauzwa

    Gharama ni 6.5mil tu. Piga 0620 484 081
  14. MJIMPYA

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Viatu cha Bora chakumbwa na janga la moto

    Ni geti baada ya iliyokuwa bora. Linaonekana ni jengo lilikuwa bado linajengwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom