Recent content by Mjiji

  1. M

    Lecturer part 3

    Nakupongeza binti kwa msimamo wako huo usikate tamaa pia naupongeza uongozi wa chuo kuonesha ushirikiano chanya kwako nadhani hii itatoa fundisho kwa wote watumiao nafasi zao kufanya maovu huyu Mungu azidi kukupa ujasiri.
  2. M

    Walimu kugoma tena

    Ni mgomo kwa namna yoyote, walimu hatuko tayari kukubariana na viwango hivi vya mishahara visivyoendana kabisa na hali halisi ya ugumu wa maisha.
  3. M

    Ndalichako kutemwa Baraza la Mitihani ili kumwokoa Shukuru Kawambwa

    Waziri mhusika awajibike. Necta hawana makosa kwani kazi yao ni kutunga kuhakiki na kusahihisha mitihani.[New jf member]
Back
Top Bottom