Brother Masanja nadhani utakuwa umeteleza kidogo. Ungerejea kumsoma upya Mtoa Mada. Hao Wazee wawili Babu na Bibi sii Single Parent kaka. Ni wazazi kama Baba na Mama. Mtoa mada anasemea Mzazi mmoja anaechukua jukumu la kulea akiwa yeye peke yake. Na matokeo mabaya zaidi ni pale Jukumu hilo...
Ndugu yangu tema MATE chini pia Mshukuru MUUMBA wako saana kama huyo ulonae ni mwema kwako. Na jalia kuwa haya uyanenayo ni ya kweli na sii Unafiqi au Ushabiki basi jua MUNGU kakupendelea kweli..Kama hauna Mkono wa MUNGU juu yako na kama YEYE MUNGU kaamua tu kukupa Mtihani basi kaa ukijua...
Fikra zako ni za Mgando na zenye Chuki ndani yake ya kwa nini (Ankaal) Paul Kagame kaiendeleza Rwanda kimaendeleo huku wewe na li Nchi lako Uchumi wenu wazidi Dorora. Mwaizidi nini Rwanda mpaka usione haya kunyanyua D.o.m.o lako na kutamka U.o.z.o kama huu???!!
Usijiite Mtaalamu kwa kuzungumza UPUUZI kiasi hiko Mkuu. Tangu niko shule ya msingi naskia hayo hayo maneno yenu ya kichochezi na CHUKI dhidi ya (Ankaal) Paul Kagame. Mwasema " Oooh!! mara kamuua Baregeya,,Oooh!! mara anaiba mali za Congo,,maneno Meengi yasio na Mpango yeye kimyaa. Na mtasema...
Aksanteh Mkuu Umenikosha saana hapo. Nadhani watu hawatambui kuwa Rwanda ni Nchi yayoundwa chini ya mustakbali wa Wanyarwanda wenyewe. Hivyo killa mtu afanye kazi na majukumu yake kiufanisi bila ubabaishaji. Wasiwe kama Nchi ya Tanzoo yenye Uwongo uwongo mwiingi wa Kisiasa khalafu matokeo Hollah.
Watu hawayaoni Mazuri ya (Ankal)Paul Kagame wao wanaona Mabaya tu..Na hata hayo mabaya yenyewe ukimuuliza mtu"Una Ushahidi na haya uyasemayo kuhusu (Ankal)Paul Kagame?". Ataanza Oooh!! Mii nimeskia kwenye Vyombo vya Khabari..Nachoshauri watu tuache kuskiiza Propaganda za Kimagharibi nendeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.