Recent content by mjengo

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    acha wivu mimi ninatamani helkopta ziwe angalau sita ili kuweza kuwafikiwa wa tanzania wengi zaidi wewe unapiga mahesabu ya helkopta tatu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Mbozi magharibi halina Mbunge Momba

    wana momba wana mtambua silinde kama raisi huu si ushabiki bali ni ukweli.makam wa raisi analijua hili ninalolitamka.kwani kijana huyu ndiye aliye mnusulu makamu wa raisi baada ya kuwaomba wamsikilize alipo kuwa tunduma kuzindua soko.kijana alitumia busala za hali ya juu sana.pia wana momba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Mbozi magharibi halina Mbunge Momba

    unapokuwa unaweka uzi hapa jf inatakiwa kufanya utafiti sio unakulupuka tu na kudanganya watanzania. mbunge wetu silinde toka kachukua jimbo ameweza kuzunguka jimbo zima akiongea na wananchi pamoja na kuchukua kelo mbalimbali za wananchi. kiujumla jimbo letu kijographia ni jimbo ambolo ni pana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    wewe mbona povu linakutoka acha ujinga wewe.unaonekana unauchu sana na madaraka wakubwa wameona hufai unaleta habari zaakina nape hapa toka zako tutafute viongozi walio tukuka.nenda zako kalime kahawa f
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    we umetumwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bei za mazao mbalimbali katika maeneo tofauti ya Tanzania

    Habara wana JF, mimi nipo Mbeya ninaomba kujulishwa bei za mahindi na maharage Dar es salam, nitashukuru sana kama nita julishwa bei za mazao hayo asanteni.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

    wewe acha kudanganya uma chadema ni chama makini hawakurupuki hakuna mpasuko wowote 2015 nchi lazima ichukuliwe na chadema
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Vyama vya upinzani vyanyimwa ruzuku Rasmi

    wewe umetumwa kunaambaye amekulazimisha kuchangia oparation za chadema. sisi tunawaamini viongozi na pesa tunayochangia tunaona ikifanya kazi acha majungu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CUF na gari lao wafukuzwa na wamachinga hapa soko la Kilombero, Arusha

    ccm B wameangukia pua.
Back
Top Bottom