Joto la harakati za kupata ubunge limezidi kupamba moto miongoni mwa watia nia wa chama tawala pamoja na vyama vya upinzani.
Ni sarakasi , vitimbi na mnyukano vinaendelea huko majimboni.
Hapa nataka nizungumzie jimbo la Iramba Magharibi ambalo lipo chini ya Dr Mwigulu kupitia chama Cha...
Hivi majuzi, Katibu wa Siasa na Itikadi Ndg Humphrey Polepole, Kwa niaba ya Chama aliongea na wandishi wa habari Kama mlivyomsikia alisema,
1) Wale wasaka Ubunge wanaovuruga majimbo ya CCM hawatateuliwa maana ni walafi wa madaraka.
2) Wale walioteuliwa na Rais katika majukumu mbalimbali mfano...
KAMA HUMJUI MWIGULU NCHEMBA KAA KIMYA NI MTU MWENYE ROHO YA PEKE YAKE USIMLINGANISHE NA KITILA.
Sisi wanairamba tunayemjua tunakushangaa sana
Mwigulu ni mtu mwenye roho ya kipekee mno.
Nakumbuka Mwigulu alipokuwa anatafuta ubunge, alikuwa anatumia tax ya mtoto wa Kipakulo alipopata ubunge...
KAMA HUMJUI MWIGULU NCHEMBA KAA KIMYA NI MTU MWENYE ROHO YA PEKE YAKE USIMLINGANISHE NA KITILA
Sisi wanairamba tunayemjua tunakushangaa sana
Mwigulu ni mtu mwenye roho ya kipekee mno.
Nakumbuka Mwigulu alipokuwa anatafuta ubunge, alikuwa anatumia tax ya mtoto wa Kipakulo alipopata ubunge...
Huyo ni tapeli na mwizi taarifa zake tunazo kwao aliambulia kujenga kilabu cha pombe. Ana roho mbaya sana huyu hawezi kuwa mbadala wa Mwigulu. Mwambieni aendelee na wizi wake kwenye ukatibu mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.