4.Gharama za kufanya Skimming ni laki 6 kwa nje na laki 7 kwa ndani hii ni kwa nyumba za kawaida....Bei inaweza kupanda au kushuka kutokana na ukubwa au udogo wa nyumba....
2. Bei ya milango ya Aluminium ni Laki 2 kwa mlango unaofunguka kushoto na kulia....Bei inaweza kuongezeka au kupungua kutokana na ukubwa au udogo wa mlango
1. Bei za aluminium window kwa size sake [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Bei za aluminum ni kulingana na ukubwa wa dirisha
4*4=170000
4*5=200000
5*5=230000
5*6=260000
6*6=280000
Hii ni pamoja na Kuliweka...
Ni fundi urembo wa
Dirisha
Nguzo
Fensi
Kona au pembe za nyumba
Pia Tunafanya Skimming na Rangi kwa bei nafuu kabisa...
Tupo Temeke DSM na popote Tz Tunakufikia
MAWASILIANO
Calls&whatsapp
+255789005562
Nafasi hiyo Alluminium haitoshi....nicheki hapa tupige urembo wa dirisha na tuweke Aluminium kwa bei ya kizalendo na Aluminium itakaa fresh 0789005562
Na bei za Aluminium ni hizi
Bei za aluminum ni kulingana na ukubwa wa dirisha
4*4=170000
4*5=200000
5*5=230000
5*6=260000
6*6=280000
Hii ni...
Hapo kwenye Lenta umetulepeka puta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jenga lazima ziwe na lenta na Kuhusu ubora inategemea na Aina yako ya Akili, nipo Chamazi ukitaka kuziona hizo nyumba zikijengwa njoo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.