ptuuuuuuuuu!!!! haki ya nan wewe hapo huna chako. umekosa nini kwa mkeo hadi utamani ndani ya chupi ya dada wa kazi? we kufa nalo tu kama hukua na mpango wa mke wa pili fanya fasta.
Hata mtu mzima au aliyekomaa kiakili hawezi kumdharau mtu asiyemjua ukiona mtu ameandika hovyo usikoment ili nawe uonekane umekomaa kiakili. USIJEFIKIRI UNAANDIKA POINT KWA KUMWITA MWENZAKO MTOTO NA UMEISOMA THREAD YAKE.
Ndugu yangu kukomaa akili hukuna mahusiano na ujenzi wa mahusiano mtu anapotaka ushauri maana yake ana majibu mawili kichwani ambayo anafikiri ni sahihi kama ndugu yangu huna ushauri usichangie maana huna msaada.
Ninae mpenzi wangu kwa kifupi tunapendana yeye yuko chuoni anasomea Nursing ila nilitamani tufunge ndoa baada ya yeye kumaliza masomo yake alafu mimi niende nikajiongeze.
Sasa naomba ushauri nitimize azma ya kumuoa ndio nisome au nikasome ndio nimuoe? Ninaogopa nisipofanya hivyo mahusiano yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.