Recent content by mjazz75

  1. M

    Je, Zanzibar inasonga mbele au nyuma?

    Wakati mwengine hujuiuliza uamuzi gani huchukuliwa kuchagua viongozi, Poor management, bad politics na chuki binafsi. Viongozi ndio wanayoirudisha nyuma Zanzibar. Waziri anaishutumu Marekani kwa kuwakataza raia wake wasiende pemba , kuwa wao ndio wanaozusha zogo huko, tafadhali nani asiyejua...
  2. M

    Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Yes according to BBC news
  3. M

    Tanzania: Adui yetu ni nani na tuna fursa gani za kumshinda? Tunamlenga au tunamkwepa?

    Ahsante sana Rev kwa kuichambua CCM, tumechoshwa na mwennendo unaotupeleka, tumechoshwa kuimba Zidumu fikra za mwenyekiti, Hakuna mwenyekiti mwenye Fikra ambazo zinahitaji kudumishwa katika CCM. Inasikitisha sana kufikia rais JK kutupiwa mawe na wanakijiji ni wakati umefika wananchi wamechoka...
Back
Top Bottom