Recent content by mjasiliamali makini

  1. mjasiliamali makini

    Kazi ya upishi

    Umeshapata kazi tayali au bado?
  2. mjasiliamali makini

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Habari za wakati wana JF Mimi naomba kujua wanapouza nguo za michezo za jumla kariakoo. Shukrani.
  3. mjasiliamali makini

    Nimesali sana, nimeroga na nimejiendeleza kitaaluma lakini mwaka wa tatu sina ajira. Je, nimebakiza nini?

    Dah,hongera kwa kujikubali najua utafanikiwa tu,omba Mungu kwa imani yeye ni baba wa wote.
  4. mjasiliamali makini

    Nimesali sana, nimeroga na nimejiendeleza kitaaluma lakini mwaka wa tatu sina ajira. Je, nimebakiza nini?

    Nimepitia shauri nyingi kakini Chukua huu ushauri tendea kazi. Binafsi naamini Mungu atakupa ukiwa kwake asilimia mia zaidi ya hapo hasikii maombi ya mwenye dhambi.
  5. mjasiliamali makini

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Umasikini ni mbaya sana [emoji706]
  6. mjasiliamali makini

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    [emoji1787][emoji1787] Ni shida
  7. mjasiliamali makini

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Ni sahihi kabisa yaani pale nyakato ni kama jehanamu.[emoji706]
  8. mjasiliamali makini

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    [emoji26][emoji17]ni uzuni sana zile kazi ni ngumu sana mimi nilikaa masaa matatu tu wala sikuomba ata mia mzee.
  9. mjasiliamali makini

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Mzee ni balaa tupu[emoji1787][emoji1787]. Kwanza wale wanaozifanya zile kazi wanajuana na wamesha fanana nazo,, Niliisi kufa kabisaa nikawa naona nyota nyota machoni umo ndani joto lake kama jehanamu alafu nondo inatoka kwenye kinu ya moto inapita tu pale kwenye maji...
  10. mjasiliamali makini

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Ni hatari mimi nilipitia hiyo changamoto nikiwa mwanza,jamaa yangu akanambia pale nyakato still kazi nje nje akaniuliza utaweza?,nikaona kanidharau nikamwambia we nipeleke,nikashangaa jamaa alivyonifikisha pale akaniachia na nauli ya kurudia[emoji1787], Wazee nilianza vikazi vidogo dogo,kifupi...
  11. mjasiliamali makini

    Aliyeishia kidato cha nne na akapata division 4 ya 32, na anatamani kujiendeleza kimasomo, afanyeje?

    Mkuu umeyafungua maisha kwa uwazi kabisa na kwa wepesi kabisa,sina cha kukulipa zaidi ya kukushukuru sana.
  12. mjasiliamali makini

    Aliyeishia kidato cha nne na akapata division 4 ya 32, na anatamani kujiendeleza kimasomo, afanyeje?

    Pia kama dm yako inafanya kazi ebu nicheki basi tubadilishane contact maana mimi dm inagoma mkuu.
  13. mjasiliamali makini

    Aliyeishia kidato cha nne na akapata division 4 ya 32, na anatamani kujiendeleza kimasomo, afanyeje?

    Dah, shukurani sana,yaani umenifungua macho sana. Tafadhali kwa mapenzi yako, kati ya fani hizo tatu ni ipi nitembee nayo hasa? Binafsi nahisi hii ya maji na the best.
  14. mjasiliamali makini

    Aliyeishia kidato cha nne na akapata division 4 ya 32, na anatamani kujiendeleza kimasomo, afanyeje?

    Yaani wewe umefunga kila kitu, Naomba kujua huu mtihani wa CBA unafanyia kituo gani? Au ni chuo gani kina husika na huu mtihani?
Back
Top Bottom