Recent content by MJASI LIAMALI

  1. MJASI LIAMALI

    Natafuta Nafasi ya kufundisha

    Habarini wakuu Natafuta nafasi ya kufundisha vyuo vya ualimu vya ngazi ya certficate na diploma. Nina Bachelor of Arts with Education (3.5 GPA) na masters of Education in assessment and evaluation (4.7 GPA). Kwa anayefahamu chuo chochote cha ngazi tajwa hapo juu chenye nafasi ani PM tafadhari...
  2. MJASI LIAMALI

    Inteview ya Academic officer/ Examination Officer inakuwaje

    wadau ni sifa zipi za ujumla ili uwe examination officer?
  3. MJASI LIAMALI

    Natafuta nafasi ya kufundisha vyuo vya ualimu ngazi ya certificate and diploma

    Asante mkuu kwa comment yako ya kiutu uzima na busara. Nimeipokea
  4. MJASI LIAMALI

    Natafuta nafasi ya kufundisha vyuo vya ualimu ngazi ya certificate and diploma

    Habarini wakuu Natafuta nafasi ya kufundisha vyuo vya ualimu vya ngazi ya certficate na diploma. Ninabachelor of arts with education (3.5 GPA) na masters of education in assessment and evaluation (4.7 GPA). Kwa anayefahamu chuo chochote cha ngazi tajwa hapo juu chenye nafasi aniPM tafadhari...
  5. MJASI LIAMALI

    UDSM POSTGRADUATE SUCCESSFUL APPLICANTS 2018/2019

    Mimi niliomba mwezi wa Tisa but mpaka sasa hakuna majibu yoyote, wanaendelea kutoa ya undergraduate tu. Bora watoe na postgraduate tujiandae mapema si kushtukizwa tu afu unapewa wiki moja
  6. MJASI LIAMALI

    UDSM POSTGRADUATE SUCCESSFUL APPLICANTS 2018/2019

    Kuwaand Kuwaandikia sio shida. Tatizo ni kukujibu
  7. MJASI LIAMALI

    Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

    Hivi 2018/2019 second round bado hawajatoa?.
  8. MJASI LIAMALI

    UDSM POSTGRADUATE SUCCESSFUL APPLICANTS 2018/2019

    Habari wana jamii forum, Ninauliza anayejua majina ya udsm postgraduate walioomba kwa second round yatatoka lini, msaada tafadhari.
  9. MJASI LIAMALI

    Msaada spare za skymark

    Habari wana JF. Ninashida ya haraka na spear za pikipiki aina ya skymark winner, Nipo ubungo DAR kwa anayefahamu naomba aniekekeze. Nawasilisha
  10. MJASI LIAMALI

    Bajaji inahitajika.

    Wapo tu wanaouza so watapatikana tu. Juz menunua TVS mzima 3M. Shida haivumiliki
Back
Top Bottom