Recent content by mjapanimweusi

  1. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    Ok asante mkuu naomba ni kujibu.... 1.Jina la kampuni ni LiB Innovation and Electronics (LBIE) Tunajihusisha na shughuli mbalimbali za electronics,it,na networking. 2.Ndiyo GPS system inatumia SIM CARD,japo uwepo wa sim card kwenye GPS si kwa ajili ya kujua maaeneo,inasaidia katika mfumo...
  2. mjapanimweusi

    Jinsi simu yako inavyoweza kukusaidia kupaipata gari yako au pikipiki yako iliyo ibiwa.

    Jinsi simu yako inavyoweza kukusaidia kuipata gari yako au boda boda iliyo ibiwa. Kabla ya kufahamu jinsi simu inavyoweza kutusaidia kupata gari au boda boda iliyo ibiwa kwanza tufahamu vitu hivi muhimu GPS,GPRS,WiFi LOCATOR na CELL TOWER TRIANGULATION GPS ni nini? Ni mfumo wa kutambua...
  3. mjapanimweusi

    Inverter

    1. Tunaunda inverter za aina zote. 2. Tunaboresha mifumo ya inverter zilizo tengenezwa tayari. 3. Tunaweka mifumo ya inveter charger,ili iwe inajichaji pale umeme unapo kuwepo,kama haina mfumo kama huo. 4. Tunageuza inverter ya kawaida kuwa UPS. 5. Tunageuza UPS kuwa inverter 6.Tunaunda...
  4. mjapanimweusi

    Wenye tatizo la umeme mdogo kwenye,motor za visima vya maji,motor za mashine,Freezer,Majiko ya umeme,Air condition solution hii hapa

    Tunaunda kifaa kinachoitwa Automatic Voltage Riser (AVR). Kifaa hiki kinaondoa tatizo la umeme mdogo,kwa vifaa vikubwa mfano motor,freezer,air condition,majiko ya umeme n.k. Kama umejaribu kutumia stabilizer za aina mbalimbali na zikashndwa,basi kifaa hiki ndiyo solution. Sifa za kifaa hiki...
  5. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    Tupo katika jengo la machinga complex Dar es Salaam,floor ya tatu. Jengo ambalo lipo jirani na maduka ya spea za magari Nakutumia namba ya simu mkuu!
  6. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    ukifunga tracking system ktk gari yako,ni vizur ukafanya jambo hlo kuwa ni siri,huna haja ya kuwaambia watu kuwa gari yako imefungwa system za self defence au tracking!
  7. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    karibun kwa maswali,karibun tuwahudumie pia!
  8. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    Daladala package yake ni Tsh 500,000/,ikiwa imejumuisha subscripion ya miez 6. Ila kama utakua na gari kuanzia tatu na kuendelea,utapewa offer ya subscription ya miez sita kwa kila gari,hivyo utalipia 440,000/ kwa kila gari moja. Coverage yake haina limitation hata kama gari ikikodiwa kwa...
  9. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    Asante kwa ushauri mkuu!
  10. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    Ni kweli boss bei zipo juu,tunavyosema tunaunda haimaanishi tunaunda kila kitu from scratch,kuna gadgets ambazo tunaagiza toka nje ya nchi pia.kinachofanyika hapa ni circuiting,assembling na coding na visaketi vichache tu kukamilisha. Pia hata nje zpo za gharama hadi za milioni 2 zipo lakin pia...
  11. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    Kuifatilia gari kwa kuwakamata wao na gari ndiyo kuna process ndefu ya kufatilia hatua kwa hatua wapi walipo,speed waliyonayo n.k, Lakini kama huna shida nao unarock tu gari inazima na haita waka,bila shaka watasababisha jam,na watakimbia wataiacha gari!
  12. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    systeme ina ping location kila baada ya dakika 15,ikiwa kwenye emergency ina ping kila baada ya dakika 1. Kujua gari lilipo itategemeana na last ping pamoja na speed ya gari,na aina ya barabara pamoja na uwepo wa traffic lights au traffic volume,pia uwepo wa alama za speed limit kwa barabara za...
  13. mjapanimweusi

    Fahamu "route" za gari yako ya biashara

    maswali zaid...
Back
Top Bottom