Acha mbwembwe ww hakuna ambaye hataki kujiajili shida ni mtaji,alafu ukute ulisomea mkopo wa serikali chuo hilo déni utalilipa vip kimsingi elimu yetu haimuandai mwanafunzi kujiajili ndo maana wasomi wa maana wanakimbilia kwenye siasa coz wanatafuta maslai mazuri.Tukibadilisha mfumo wa elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.