Hawa cuf seif sijui kama wanajua wanacho kifanya,
Cuf Lipumba ndio wanatambulika na msajiri ndio watakao toa wagombea watakao tambuliwa na tume ya uchaguzi.
Jana zitto alilalamika hapati taarifa ya mapato na akatishia kuishitaki bot leo anasema yapo chini ya bil. 6!!!
Pengine ni njia ya kulazimisha apewe takwimu sahihi
Sera now ni udikteta na ili kushawishi watu lazima ionekane wanataka kuuwawa na rais, Rais anaeuwa watu wake kwa kujosolewa ni dikteta.
Kinachofanyika hapa ni kuipaka rangi hoja ya udikteta
Hivi serikali ikimfikisha mtu mahakamani lengo ni kumfunga?
Mimi nadhani ni kutafuta tafsiri ya sheria kuwa mtu katenda kosa tajwa ama laa? Sasa habari za aibu zinatoka wapi hapo? Means manji angefungwa bashite angepata sifa? Zipi sasa? Tunajadiri kama vilema wa akili.
Manji akishinda ni...
Rais mwenyekiti wa chama tawala,
spika ni mbunge wa chama tawala chini ya mwenyekiti wake ambae ni rais wa nchi .
Katiba hairuhusu mgombea binafsi inamaana spika/mbunge wa chama cha siasa akifutwa uanachama anapoteza ubunge wake, na automatically anakuwa amepoteza uspika wake,
Hivi hapa...
Tundu Lissu
Mungu kasaidia kapona, kwanini tusimsubiri aje aseme ukweli?
Ramli za nini? Mbona tunabapiabapia mara bashite? Mara sijui naninani? Mara jpm hii haraka inatoka wapi? Mara tiss tunawashwa midomo?
Kwamba hatuamini kuwa Lissu atamsema aliemuona kwenye tukio au? Kwamba lissu...
Cdm hamjajibu hoja za muro mnamshambulia tu, mara alisaidiwa mara anatumiwa, mara anataka ukuu wa wilaya lkn sijaona aliejibu hoja.
Hivi nini maana ya neno tubishane kwa hoja? Anaekushambulia kwa maneno amekoswa siraha, muda na werevu wa kutumia bunduki laiti angekuwa nayo naamini...
Hilo sasa ni kosa la alieripoti sio mkamataji? hivi huwa kwa mfano bbc waliporipoti kuwa everton wanacheza na timu ya kenya kwenye kijiji cha wavuvi jijini nairobi kosa lilikuwa la nani everton au media? Kama ni karati mwananchi aneripoti kg hilo sasa ni kosa la mwananchi sio aliekamata...
Kama wewe ni maskini unategemea uitweje ili usionewe? Uitwe tajiri? Hata Tanzania inaitwa maskini na nchi tajiri akiwemo huyo magufuri,
Sijui kama maskini ni tusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kauli zipi kati ya hizo ambazo hazijatolewa hapa tanzania?
Mara hii tumesahau mpaka leo Lowasa hajakubali matokeo ya 2015? Seif ameshakubali si bado anasubiri kuapishwa?
Mara hii tumesahau tulivyohamasishwa tushone suti? Zile kesi zilizoenda CCJ tumezisahau? Walivyotoka bungeni...
Hiyo ndio demokrasia hata kama wapo watatu tu lkn wana uhuru na haki ya kufanya maamuzi yao na heshimiwe, hizo mil 700 ndio gharama ya demokrasia mbona inamuuma Mbowe? Hivi anajua uchaguzi mkuu unakula bilioni ngapi? Je yupo tayari 2020 tusifanye uchaguzi ili hayo mabilioni yajenge mashule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.