Recent content by Mitanotena

  1. M

    Maagizo ya Rais, Mawaziri wanayapuuzia au maanake sielewi sielewi!

    Wewe itakuwa mwalimu waalimu wanapoajiriwa wengu hususan wa wa arts huishia kuigeuza ofisi kuwa kijiwe cha kupigia story na mipasho angalau kwenye uhaba wa mathematics na sayansi si vizuri kuvunja mikataba ya ujenzi wa SGR kwa sababu ni maendeleo endelevu ya vitu
  2. M

    Maagizo ya Rais, Mawaziri wanayapuuzia au maanake sielewi sielewi!

    Ndo umeliona hilo katika uzi wote
  3. M

    Maagizo ya Rais, Mawaziri wanayapuuzia au maanake sielewi sielewi!

    Anzisha uzi wako tutakuja kuchangia mmarekani unaeshida mitandaoni
  4. M

    Maagizo ya Rais, Mawaziri wanayapuuzia au maanake sielewi sielewi!

    Kutoa matusi ni dalili ya uzezeta
  5. M

    Maagizo ya Rais, Mawaziri wanayapuuzia au maanake sielewi sielewi!

    Nakumbuka siku Rais anawaapisha mawaziri na makatibu wakuu alitoa maagizo mengi.Baadhi ya maagizo. 1. Waalimu 6000 waajiliwe mara moja ili kufanya mbadala walioacha kazi na kustahafu. Lakini mpaka sasa hakuna kinachofanyika waziri anaruka ruka tuu hajui lipi ashike na lipi aache.Naibu wake...
  6. M

    Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

    #UpdatesKishikaji Kutoka kwenye Hotuba ya Freeman Mbowe 1. KUHUSU MIMI 👉Kuanzia tarehe 4/12/2020 nilikuwa nje ya nchi Kwa miezi minne. 👉Hii ilileta taharuki,na wengine walinizushia Kifo lakini sikuwa naumwa. Nilikuwa nje kibiashara na mambo ya Chama. 👉Nilienda nchi za nje kutafuta uwezo wa...
  7. M

    Katibu Mkuu TAMISEMI na Utumishi ni tatizo katika Wizara

    Wamemla kichwa nyenzi yule
  8. M

    Katibu Mkuu TAMISEMI na Utumishi ni tatizo katika Wizara

    Kila mtu ashinde mechi zake ndio kawaida ya watanzania
  9. M

    Katibu Mkuu TAMISEMI na Utumishi ni tatizo katika Wizara

    Huyu mzee asitafishwe kwa kudanganya
  10. M

    Katibu Mkuu TAMISEMI na Utumishi ni tatizo katika Wizara

    Waliotajwa hapo juu ni hatari mno kwa utendaji wa TAMISEMI kwa waziri mpya nikikumbuka jinsi walivyodanganya katika ajira za ualimu, na kuingiza majina hewa zaidi ya 1000. Mhe Rais usiwaaache hao katika Wizara kwa ufanisi wa waziri mpya Ummy Mwalimu. Kwanza walimdharau Waziri wao...
  11. M

    Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Mhe: Rais umejinadi kuwa ni serikali ni ya Watanzania sasa kwanini Ndugu lile anatufanyia hivi?! wengine biashara zetu ni za mitandaoni, Hivi ni kielele gani kilichokupeleka kwwnye mitanado ya kupandisha vifurushi namna hii?! Daaaahh kama serikali haitokufukuza nitaisi walikutuma ila punguza...
  12. M

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mhe Raisi kama itakupendeza kurugenzi ya mawasiliano ikulu mpe Zuhura Yunus wa Bbc. Kwani yeye ni mbombezi, pia wakumbuke wale vijana 5000 walioahidiwa ajira za ualimu mwisho wa siku wakatelekezwa
  13. M

    Wizara zifuatazo zinahitaji Mawaziri wapya haraka iwezekanavyo

    Nimekujua wewe ni Erick bernad mfanya kazi wizara ya afya wizara hongera kwa kumsagia kunguni boss wako inaonekana haukulizika alivyopelekwa wizara ya Muungano
  14. M

    Muda wa kutengeneza pesa huu

    96b Mungu awachome moto
Back
Top Bottom