uongo mtupu....
1) Jenerali ana watato 4, wa tatu wa kiume na mmoja wa kike
2) Hana mtoto aliyeoa au olewa
3) RAI sio Rwandese Agencies Internationale ; kama ungekuwa hivyo si Rostam Aziz angebadilisha jina la Rai baada ya kununua Habari corporation
4) Bifu ya Mkapa na Jenerali ilitokea kwa...
Watanzania kwa ujinga tunaongoza afrika mashariki... Hivi CCM imetuchafua akili kiasi hicho...?
Kama Chadema ni chama kibovu, ccm ni chama cha aina gani? Barabara zetu bado ni mbovu, hospitali zetu hazina vifaa vinavyohitajika, Elimu ndo tunaendelea kudidimia, halafu serikali ya ccm bado tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.