Recent content by Missouri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

    Mungu tuhurumie. Wabongo ni wajinga sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majimbo ni mzuri kama tutafuata mfumo wa majimbo wa marekani Makabila makubwa bado yatazuiwa kuhodhi madaraka

    Mnaosema majimbo yasiyo na rasilimali yatajikongoja, mtakuwa na limited minds. Singapore Wana rasilimali gani zaidi ya watu,mbona imeendelea? Hapa ishu ni uwekezaji wa technical know how,and all money will flow to that specific province. Our minds should ponder beyond the so called (natural...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Ndiyo maana Katiba mpya inapigiwa chapuo ili kuondoa vyama kuhodhi haki ya kikatiba ya mtu kuchaguliwa ama kumchagua amtakaye (Mgombea binafsi). Katiba ndiyo suluhisho la sintofahamu kama hizi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siku tutayothubutu kuingia rasmi mfumo wa Serikali ya Majimbo sioni Rais mwingine zaidi ya Msukuma. Makabila mengine mtasubiri sana

    Mfumo wa uchaguzi kimajimbo haujumlishi Idadi zote za kura kama huu tulionao, wenyewe unaangalia chama,au mtu ameshinda Jimbo gani then baada ya hapo wanajumlisha Idadi ya majimbo uliyoyashinda. Mfano, JIMBO LA KANDA YA ZIWA: Paskali kura 2,000 Mbogamboga kura 20,000 JIMBO LA PWANI: Paskali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waarabu hawana us taarabu hata kidogo huko Judaea & Samaria!!!

    Huyo hawezi kuachwa,akiuliwa utaanza kuona maandamano. Hawa jamaa bure kabisa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakujawahi kutokea Taifa la Palestina duniani

    Jibu linajulikana,lakini pia huo mfano wako haufanani hata kidogo na wa Israel vs Palestina. Historia ya Unguja na Zanzibar kwa ujumla inaenda mbali zaidi ya 1840, ushahidi upo wa kutosha, Nyaraka za The Periyplus of Erythraean sea ambayo iliandikwa na unknown Greek Geographer miaka ya A.D 60...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hakujawahi kutokea Taifa la Palestina duniani

    Ushahidi wa kihistoria na ule wa kiakiolojia unasigana na madai ya Waarabu kusema pale ni kwao, Ukimuuliza mwarabu yeyote wa pale Gaza akutajie japo Mfalme mmoja wa the so called Kipalestina kabla ya uhuru wa Israel 1948 (atakutukana matusi kama siyo kukuanzishia mada nyingine,utasikia "mayahudi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa rika lake, Diamond ni Tajiri namba Moja Tanzania

    Kumbe TN unamfahamu,yule jamaa ni Kifaru pale Ubaruku.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Serikali haiwezi kujenga kila kitu, punguzeni kuzaliana, tumieni uzazi wa mpango

    Naipinga hoja yake kwa asilimia 100. 1. Tanzania Ina ukubwa wa Km za mraba 947,300 na Idadi ya watu inakadiriwa kuwa ni milioni 70, ndani yake Kuna Kila rasilimali zinazoweza kufanya watu wake wawe na maendeleo makubwa na ya kutosha. 2. United Kingdom yenye nchi nne i.e Wales, England, Scotland...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es salaam linatakiwa kuwa na stendi 7 au 8

    Kwakweli naweza kutoka nje ya mada kidogo,mnisamehe. Sababu ya rural to Urban migration ni kutafuta fursa za ajira, biashara, modernization n.k Kama sehemu ambayo serikali zote zilozopita zimekosea ni pamoja na hili jambo la Dar. Dar inakua kwa Kasi,hilo halipingiki lakini kwa mtazamo wangu it...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

    Hizo habari chanzo chake ni Cha kutoka Cuba au Marekani?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uwekwe Mpango wa Kupanda Misitu ya Asili kwa Helicopter jirani na majiji makubwa Tanzania

    Brother nimeona, utafikiri hakuna Baraza la Madiwani la Jiji. Hivi unarihusu vipi watu kujenga mlimani, Inachekesha sana. Arusha wamejitahidi Nafikiri pia kwasababu ya mlima Meru ni kama kivutio Cha utalii kwahiyo miti ikikatwa huku chini kule juu hata kale kabarafu kaliopo kanaweza kutoweka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uwekwe Mpango wa Kupanda Misitu ya Asili kwa Helicopter jirani na majiji makubwa Tanzania

    Ujenzi na kilimo holela vinagharimu nchi nyingi za kiafrika. Mfano, Kwa Mbeya, Isanga,Nzovwe, Mabatini, Airport, Uyole ilitakiwa zivunjwe zote na kuweka nyumba chache za ghorofa huku eneo lililobaki lipandwe miti. Kwa Arusha, Kwa mrombo, Intel ni mahali pa ajabu,kwanza sijui ni nani aliruhusu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hoja yenye mashiko: Ikiwa mahakama itamrejesha Mpina apewe kura za hasira dhidi ya wahuni

    Wewe Akili zako bado zipo kwenye Pre - Cambrian period. Who told you kura za hasira kwa wapinzani zinaweza kuamua ushindi wao? Wake up ndugu yangu, tume haipo huru,do not expect much from it.
Back
Top Bottom