Recent content by missongika

  1. M

    JamiiForums Tanzania Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

    Mwalimu Nyerere alisema mpinzani wa kweli atatoka ndani ya ccm.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

    Mchezo wa mpira huchezwa uwanjani, inje ya hapo ni maigizo!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Wapinzani mnasikiliza uongo wa Polepole hadi usku wa manane? Basi tunahijaji reforms za ubongo wa wapinzani, hivi mnajielewa kweli?

    Kwa vile Polepole hajapatikana, basi tuwe tayari kusikiliza tamthilia inavyoendelea!
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA imuunge mkono Mpina hata kama ACT sio rafiki, CHADEMA isimamishe wagombea ubunge kupitia ACT na kura za urais ziende kwa Mpina

    Chadema wakifanya hivyo, watakuwa wamemsaliti mwenyekiti wao ambaye bado anaendelea na kesi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

    Chaumma watafute sera za kuwaambia wapiga kura mwezi Oktoba.
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Hata wakati wa Kambarage(chama kimoja) kuna watu walipiga kura za hapana!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

    Kwani Mbowe hamjui Tundu Lisu kuwa hana siri!
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lembrus Mchome: Nimemshauri sana Heche lakini hashauriki. Viongozi wengi wamejaa ghilba , viburi na jeuri

    Chaumma wangehangaika na mipango yao bila kuwahusisha chadema. Vinginevyo wataonekana kuwa wametumwa kuishughulikia chadema!
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM walivyowanyoosha COVID-19 toka CHADEMA hadi raha!

    Hiyo ilikuwa ni njia ya kurudi ccm ili baadaye wakumbukwe kwenye nafasi za kuteuliwa!
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

    Ataweza kulinda kura zake!
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eric Shigongo adai Buchosa kuna watu wamesambaza pesa ili wamuondoe kwenye jimbo lake

    Na yeye aliingia kwa mbinu ileile!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Samia akishinda Urais mwaka huu, Polepole, Gwajima na Mpina wataishije maisha yao hapa Tanzania?

    Hata enzi za Nyerere, akina Kambona walikimbilia nje ya inchi na wengine waliwekwa kizuizini. Wengi wao wanajua wazi nini kitafuata, maana wengine walikuwa viongozi waandamizi, hivyo ni wazi wataishi kwa wasiwasi mkubwa!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Paulo Makonda, ana utisho fulani kama Lissu. Wengi mpaka wenye vyeo vya juu zaidi yake humwogopa

    Kuwalinganisha hawa si sawa maana kila mmoja ana upande wake (upinzani na chama tawal)
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Kazi ya kuchuja kuanza kesho, na tutajitahidi kuingiza vijana wengi

    Ni vizuri vijana wapewe nafasi ya kulitumikia taifa.
Back
Top Bottom