Recent content by Mission Augst

  1. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

    Au we unavaaga nguo kama za Mbowe
  2. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Utunzaji wa garden za Dar, wakabidhiwe Jeshi

    Kwahilo hata mm naunga mkono na kambi zingine ziige mfano ule kwa kweli
  3. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    Halafu unasikia watu wanavba mishipa kulaumu tu walimu haya hawayaoni kama ni matitizo ya makubwa ya nidhamu
  4. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    Wadau kunavideo inasambaa huko Instagram ikionesha wanafunzi secondari wamekamatwa wakinywa viroba na kuvuta bang kibaya zaidi ni watoto wakike. Hii inapaswa kuangaliwa kwa makini maana ile tulio ionambeya inaweza kuwa ndio tabia za wanafunzi wengi zinaanzia hapa ndio maana hawana nidhamu...
  5. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Daktari wakamilika: Aliyetobolewa macho na Scorpion hatoweza kuona tena

    Wadau wakati tunajadili juu yahuyu jamaa aliyetoboa mtu macho Naomba nikumbushe tu kwa viongozi wamkoa wa dsm kuhusu vijana au vibaka wapale kinondoni Manyanya .wanakaba sana naisha kuwa kama kawaida ila likitokea kama hili la buguruni utasikia matamko meng tu Ushauli wangu tuwe tuna sikiliza...
  6. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Ambulance yaupisha msafara wa mke wa rais Kivukoni

    Kwa Taaratibu tunazofundishwa pale NIT nikwamba ambulance inatakiwa kupishwa na mtu yoyote hata Rais sasa inawezekana taratibu zimebadilik Pia
  7. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Mihemuko inatutesa sana kama tusipo kuwa makini itatukost siku moja
  8. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, wengi wetu tulicharazwa na kupigwa kuliko yule wa Mbeya

    Mihemuko inatupeleka pabaya ipo siku tu atatoka kwenye tv nakusema wote wasio enda kanisani au msikitini wachomwe moto na tutashangilia
  9. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ampiga mshale wa sumu mke wa mwalimu mkuu

    Ndio ushangae
  10. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la watafiti kuchomwa moto, Lingeweza kuzuiliwa

    Unaweza kujuwa mtu kwa matamshi yake au maandish kwamba akili yake ni sawa nakuku asijuwa anaanzia wapi nakumalizia wapi mizunguko yake
  11. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Ndege za ATCL, ni ofa lakini zitadumu muda gani?

    Uzuri kwetu hakuna hata uwanja kwahyo ndege sisi hazituhusu
  12. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kipindi kibaya kuwa kwenye ajira kuliko vyote

    Watu wanafanya kazi kwa mhemko saiz pressure kibao
  13. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

    Maish ni vyovyote lighte wazee wangu wangekuwa nauwezo mm nisingetoka nyumbani niende wapi Unakuta mtu baba yake ananyumba tano lakini yeye kapanga huo upuuzi mm nisingefanya ila kwakuwa wazazi wangu hawakuwa na uwezo nilianza kujitehemea nikiwa na miaka 15 mpaka leo bado hata nyumba yangu...
  14. Mission Augst

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yafanikiwa kuingiza meli kubwa

    Mbona hiyo haitangazwi au haina kiki
Back
Top Bottom