Yaani bongo hatuendelea kwasababu ya ushabiki na kujifanya wajuaji! kushangaa kunatatizo gani? mtoa mada ni mvivu wa kufikiri,hatuwezi kuendelea kwa kuendekeza majungu.kushanga si mada ya kuwaleea wenye akili timamu kwasababu ni pasonala inshu na hisia binafsi juha wewe!
Chadema ni chama chenye sera nzuri lakini wfuasi wake ni wanafiki,mtu anazungumza wazi kabisa bila hata soni eti watu wa kigoma ni wachawi,mara wanatka kuwa viongozi kwa chama ni cha baba yenu?? chadema ni chama cha malimbukkeni na mabush lawyer!!! chadema na ccm tofauti yao ni ndogo sana bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.