Sawa tu lakini kuna vitu sioni umuhimu wake kabisa hasa kwa mwanaume maana jamii yetu wengi tunaamini mwanaume ni mtu special, kiongozi nk. Sasa kiongozi wa familia yupo busy kufananisha uwezo wa akili na matako kweliii🙌
Inashangaza sana, tunaambiwa wanawake ni wengi kuliko wanaume lakini bado kila siku kuwasimulia wanawake mpaka thamani yao inashuka sasa
Sisi wanawake ndio ingetakiwa tuwaongelee kila siku maana ni kitu adimu ila loooh! Aibuuu aibuuu thamani ya mwanaume inashuka kila uchwao
Kuna namna inafikirisha kila siku wanawake vile wanawake hivi, ifike wakati baadhi ya wanaume mlinde uanaume wenu kamili
Nyie ni bidhaa adimu lakini chaajabu imekuwa tofauti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.