Recent content by miss d

  1. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kuna rafiki yangu yupo Mbeya wilaya ya Momba shule inaitwa Mpemba sekondari anataka kubadilishana na mtu wa Dar, Moro au Pwani. 0716 085 780
  2. M

    Kama ntaweza kupata chuo na hizi marks zangu

    kama una C au D ya hesabu O'level kuna kozi moja inaitwa project planning,management and community devolopment (PPM&CD) ipo UDOM ni nzuri sana ila ukiwa na D kuchaguliwa ni bahati nasibu mana kuna hesabu za hapa na pale km uko vibaya kwenye hayo mambo itakusumbua. Mass communication pia...
  3. M

    Ajali:-sina result slip hlf mwisho wa kuapply dit ni tar 20 june

    hayo matokeo yenye mhuri wa mahakama ndo utayatumia kama result slip hata kama unaapply online
  4. M

    Ajali:-sina result slip hlf mwisho wa kuapply dit ni tar 20 june

    kama ulidownload matokeo yako yaprint halafu weka alama kwenye jina lako kisha nenda mahakamani ukaape kwamba ndio matokeo yako sahihi watayapiga muhuri utayapeleka unapotaka. nilifanya ivyo kipindi icho nataka mkopo loan board na yalikubalika sasa sijui huko, jaribu ivyo
  5. M

    Wahitimu wa Tunduma

    Mbalizi kama mbali hivi ila tuwasiliane tuone tunafanyaje
  6. M

    Wahitimu wa Tunduma

    Nimewaona aisee
  7. M

    Wahitimu wa Tunduma

    Nipo maeneo ya tazara we nitafute tu
  8. M

    Wahitimu wa Tunduma

    tuwasiliane sasa
  9. M

    Wahitimu wa Tunduma

    Wahitimu wa ngazi ya cheti, diploma na degree kwa fani za biashara, mipango kazi na maendeleo ya jamii mnaopatikana Tunduma na maeneo ya jirani naomba tuwasiliane nina wazo la kuwa na kikundi kitakachohusika na mambo ya ujasiriamali na maendeleo ya jamii yetu. Hii ni katika kujikwamua na...
  10. M

    Kila tukionana mpenzi wangu anataka kusex, nifanyeje ila apunguze?

    mueleze ukweli mwambie usichokipenda ajirekebishe jitahidi umrekebishe usifikirie kumuacha km kweli mnapendana. hakuna aliyekamilika pengine hayo ndo mapungufu yake unaweza ukaamua kumuacha ukakutana na balaa lingine ukasema bora nilikotoka
  11. M

    Ugumu wa ajira kupatikana nchini

    cha msingi tusiwe watu wa kulalamika sana tukubali hiyo hali tufanye mikakati ya kujikwamua. Tuunde vikundi tayari kwa kujiajiri
  12. M

    Chakairka mikopo

    binafsi sina imani kbs na hawa chakarika
Back
Top Bottom