Recent content by misoprostol

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sub conscious mind

    Wakuu hebu nipeni ufahamu wa hii kitu. Kuna tofauti gani kati ya sub-conscious mind na conscious mind? Je roho ni nini na inafanya kazi gani? Samahani kama nimeweka kwenye jukwaa lisilohusika
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pheromone

    Imeeleweka wakuu, ahsanteni
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Kilingala

    Wakuu mwenye ufahamu wa lugha hii aandae mtaala wa namna ya kunielekeza mm na faida ya wana jamvi wengine.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pheromone

    Kuna uwezekano kuwa dopamine inahusika at the time mtu mmoja kuvutiwa na mtu mwingine
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pheromone

    Smile kuna ugumu gani hapo? toa mchnago wako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pheromone

    Mkuu maeskron ahsante kwa ufafanuzi, naona thread imetengwa na wadau, si mbaya tutaenda nayo kiugumu. Enhe bado nna maswali. Do you know anything about the chemistry of love making? Haya fungukeni msikimbie na kumuacha maeskron pekee.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pheromone

    Ahsante measkron, but kuna habari pia huwa kuna human made pheromones kwa maana ya perfumes, lotions, soaps, chewing gums and many others ambazo zinatengenezwa viwandaji, ukiitumia na ukawa karibu na mtu of your opossite sex anakuwa sexually aroused, fungukeni zaidi hapa ili turahisishe mambo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pheromone

    Smile id yangu kulikoni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pheromone

    Inasemekana kuwa mwanaume na hali kadhalika mwanamke ana sexual arousing hormone inayofahamika kama pheromone ambayo huitoa kwa njia ya smell. Je ni kweli?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sexual satisfaction

    But inashangaza sana kwani malalamiko mengi ambayo yanajiri sku hizi ni kuwa wanawake wengi hawafikishwi kileleni, hebu niambieni ina maana hii sanaa haifahamiki vizuri na midume.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sexual satisfaction

    Duh si mchezo naona mmegoma kutoa majibu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sexual satisfaction

    How is an orgasm or climax reached funguka mukulu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Body language

    Kuna namna nyingi za kuwasiliana baina ya mtu mmoja na mwingine especialy the one you are interested to create a sexual relationship with. Hebu nipeni maujanja ya FLIRTING na BODY LANGUAGE. Ni kwa namna gani zinaweza kutumika na kufanya mtu akuelewe without kikwazo or misenterpretation.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sexual satisfaction

    Je mwanamke kugegedwa mabao mengi ndo kupata satisfaction?
Back
Top Bottom