Utapeli nilioupata jana,Walinipigia simu wakisema wametoka kitengo cha Bonus cha voda,nimeshinda Laki mbili na simu ya Techno,wakataka kujua mara ya mwisho niliweka shs ngap mpesa? Nikawaambia hivi naongea na nyie nna balance la mia tano,rusheni hiyo laki mbili basi nije voda shop kuchukua...
Heri ya Mwaka!!
Kutokana na hili wimbi la serikali kufungia mabenk kweli nimepata shaka kuhusu uhifadhi na akiba ya masalio yetu.
Je,ni namna gani naweza kuweka hela zangu benk za nje?
Siku gharika likitokea niwe na blanket funds kuliko kuanguka kwa presha na kupasuka moyo.
Shukrani
Hapana Bado Dodoma na Singida ila watakuwa wanaelekea huko,Nikushauri kuna link zipo kikanda na Kuna link ya Ukanda wa kati(TMT Central Zone) jiunge mjihabarishe.
Mkitimia Idadi ya 50 na above wanakuja tu Capital City
Mkoani tayari mbona au mkoa upi,wameshaaenda Kanda ya Ziwa Mwanza na leo Wanamalizia Arusha.Watarudi Dar next week training 23 had 27 Baada ya hapo watanganza natumai itakuwa either Mbeya au Zanzibara tokana na wingi wa watu.Ni mwitikio wa Raia.
Ndugu newazz sijakuelewa kununua training package ya kuendelea ni kina nani hao? From my understanding unalipia training wajifunza na baada ya hapo hakuna malipo ya ziada.Itakuwa labda umeona matapeli wengine BUT for TMT nope pay 130K for training itakupa gateway 6months mentorship.
Kaka hii comment yako ni ya #8583,tumeshatahadharika mpaka tumeshindikana,acha tu atutapeli.Unajua ulimwengu huu wa science & Tech hata Forex ipo mtandaoni twaisoma kabisa. Mm nikuambie tu Tarehe 23 naanza mafunzo ya kitapeli pale Jangid Plaza ntakuja kutoa ushuhuda namna nimefuzu kwenye Course...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.