Recent content by MIRONJO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nyimbo maarufu ya Sophia George inaitwa "Girlie Girlie" ambayo hum imeisha wekwa,e.g. icheki YouTube ipo aliitoa mwaka 1984
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sophia George hajawahi kuimba wimbo huo,ni Wahindi wa Bongo ndio walifanya kitu kibaya sana kwa tamaa zao za utajiri walichukua albamu ya msanii mwingine na kuweka picha ya Sophia George kwenye hio albamu wakawa wanauza kama albamu ya Sophia George.ukweli ni kwamba albamu yote ile haikuwa ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kama nyimbo gani unazitafuta za Sophia George
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Hii Ndio hii Ni hii
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

    Mmh,hao ni wasaliti wa muda mrefu tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Daah Hali mbaya tunataka tuingie uchumi was Kati mkubwa
Back
Top Bottom