Kwa uwelewa wangu Mimi siku izi mikopo mingi inakatiwa bima b4 ujachkua so kazi ya ile bima ndo kwene mambo km hayo,, so taasisi itafta kampuni ya bima pale ambapo mlipaji amepotea mitinii,,, ninajaribu kuwaza
Mkuu niliwahi kuskia shinyanga Pumba ya mahindi wanauza bei cheap sana means ukisafirisha kuja kuuza maeneo km arusha italipa sana,, nipitaman kufanya iyo tho cjupata taarifa sahihi kama ni kweli ni cheap au laa,,
Kwa livoskia gunia la kg50 wanauza 8000-10000 akat kwa arusha ni 24000-25000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.