Recent content by Miracle47

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

    Hongeraa sana Vyema sana mkuu naomba tutawasiliana nimechukua no yako nipate somo la kuagiza mahitaj china
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

    Respect sana kaka ntakutafuta unipe maujuzi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye nyumba nimempa kodi kwa ajili ya kumalizia pango, ni muda umepita hajakamilisha ukarabati

    Asante Kwa wazo Maisha ni safari ipo siku ntajenga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vishikwambi kwa walimu, haya ni matumizi mabaya ya fedha za umma!

    Ingekuwa pow sana pesa ya kishikwambi kuongezea kwenye mshahara ingekuwa best sana Ingekuwa pow sana pesa ya kishikwambi kuongezea kwenye mshahara ingekuwa best sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye nyumba nimempa kodi kwa ajili ya kumalizia pango, ni muda umepita hajakamilisha ukarabati

    Ilitakiwa mpaka wa mwezi 7 niwe nimeanza kupatumia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nachukizwa na tabia ya wanawake kuvaa nguo zinazowaacha nusu utupu

    Ni kweli kabisa Pana wengine wanajibu kawaida ipo siku watakuta watoto zao wamevaa ivyo Sasa sijui itakuaje maana ni machukizo mbele za Mungu na sio utamaduni wetu Mungu atutete wazazi na walezi kuhakikisha kuwalea watoto katika misingi mizuri na kuwa mfano Kwa wengine.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye nyumba nimempa kodi kwa ajili ya kumalizia pango, ni muda umepita hajakamilisha ukarabati

    Habari ya mdaa huu viongozi mnaendeleaje, mrejesho. Ashukuriwe Mungu wa mbinguni pia mbarikiwe Wana jf wote Kwa mawazo ushauli n.k nilikuwa kwenye wakati mgumu sana lakini hatimaye solutions imepatikana Kwa kuanza na service ambazo zimebaki na mda si mrefu kuanza na kazi katika eneo Hilo
Back
Top Bottom