Mimi ninatumia PC kumuombea, sasa jana nimejaribu kwa kumsajili kwa kutumia email nyingine, kumbe kwenye simu yake anatumia email nyingine, ndio maana nawaza huo ujumbe wa Ku activate akaunti yake ya ajira portal utatumwa wapi, au nianze upya tu mchakato wa kumsajilia akaunti mpya?
Kuna kitu hapa kingine, akaunti niliyomfungulia ajira portal ina utofauti na anayotumia kwenye simu yake, yaani email mbili tofauti, je hapo kwenye huo ujumbe wa kufanya akaunti yake ya ajira portal iwe active utatumwa wapi, maana ni email mbili tofauti.
Kuna mtu nina jaribu kumuombea nafasi za afya, nimesha sajili akaunti, tatizo nikianza tu ku apply hiyo nafasi inaandika Account Inactive, je nifanye nini hapo?
Naona huyu ndio kachukua zabuni ya kuvisha ng'ombe hereni, au anakula dili na S & J Animal tech.
Kati ya kazi inayopasua kichwa wakurugenzi na hiki kitu nacho, maana wanalazimika kutumia mapato ya ndani bila kujua faida itakuaje kwenye swala hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.