Itakavyokuwa lakini msisahau kuwa CCM tayari wana majimbo matatu--Bumbuli, Peramiho na Ludewa parliamentary candidate wamestand unopposed na kuna kata pia sikumbuki idadi wagombea wamesimama bila kupingwa. hili tusilisahau wakati tunajadili haya mambo ya politiki
Tukiacha pembeni ushabiki na mahaba kwa chama, anachofanya Lowassa sio sahihi, yeye ni mtu maarufu na kipindi cha kampeni mgombea lazima ijulikane anaenda wap na muda gani sio kuvamia tu atii anasikiliza shida za wananchi bila utaratibu maalum. hapa police wako sahihi, na mbaya zaid huko...
Eti ni kweli watu wanasafirishwa kutoka mikoa ya jirani kwenda mwanza kwenye mafuriko ya waziri mstaafu mgombea urais Ukawa mh. Lowassa? na ni kweli pia kuwa vijana hapo jijini mwanza hasa waendesha bodaboda saiz wamelewa viroba shakarii na nyama zinalika na poombe hakuna mfano? walioko huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.