yaan hata niende sehem masaa tu nikirud ananinua jaman ! anataka anione nipo tu nyumban na kweli ndo nilivyo napenda kushinda ndan but sina aman ya moyo kbs! asante nitaanza kufanya hvyo kutoka kila mara
hata kanisan kama yeye hataki kwenda haniruhusu niende mm hata niombe niende na watt hatak utakuwa ugomv mkubwa ! nitaanza kutoka maana sijalelewa pia malezi hayo(gate kali)
sijawah madame kutokana na nature za kazi zangu then nahis sipend kuchepuka! ni msafi na ni mwanamke wa kisasa !sina nguo lonya lonya !napenda usafi wa nyumba kuliko hata kucha zangu!sijawah sema popote nahis aibu sana ! tulikutana tukiwa tunasoma !sikutaftiwa !sikumkuta na kitu zaid ya kitanda...
najipeleleza kila iitwapo leo !mayb ananificha ! sina hisia ht huko nje (ila sn hakika)nashukuru kwa mawazo yako! nahis nimekuwa mpweke sina rafik nayemhitaj yeye kuliko rafik yyt yule lakin mwenzangu hakai na mm !sio mchaf wala sn mdomo !
asante
umeponaje sasa! yaan hii hali ya kusex naye na huku mm sipokihisia ndo inaniuma !kuna muda huwa nalia akiwa anasex na mm !hajui kitu !nimechoka !nikiingia room nawaza tu leo sijui atataka!imefika hatua akinigusa napiga ukunga najishangaa inakuwaje !had anashangaa nashindwa sema !asante sana mdada!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.