Recent content by MINOR THREAT

  1. M

    Rules To Help You Cheat On Your Spouse....

    Yaaani Jameni.. Siwezi kuamini vile nasoma..nyinyi mnapenda kucheat baada ya ku funga ndoa? Kucheat Haiji.. because sasa, kuna emotions involved.. Mke wako anakupenda na ako nyumbani, ka-kungojea na wewe unamdanganya, upo ofisini? Mnaweza kufanya hivyo bila kuskia mbaya? And I bet ungemkamata...
  2. M

    Mweusi wa Kwanza kuchaguliwa Kiongozi nchini Russia

    Kuna ubaguzi huku Urusi. Mbona nilizani kila mtu anajua hiyo? Wanabagua not only wageni lakini watu ambao wanatokea taifa ambazo ziko majirani na urusia (Ukraine, Estonia, Latvia, Belarus etc..) Kama wanafnya hivo na majirano yao, unadhani wanaweza ku accept blacks?
  3. M

    Tanzannian politics

    Vipi, mimi ni mpya huku TZ, nilianza kuishi hapa kwanzia Januari. Afu, katika ya mooda mfupi nilikuwa huku, niliona TZ mukona party moja ,CCM, na watu wakona maoni tofauti kuhusu CCM. Nieleze ni nini mbaya nao? Rafiki moja, aliniambia, wako disorganised lakini, ye huwapigia kura kwasababu zile...
  4. M

    Wa deme wa Tanzania!

    Yaani, mimi si mwarabu kabisa. Heritage yangu ni mixed, babu yangu anatokea Yemen, mama yangu ni Mtanzania Baba yangu ni raia wa France etc. Lakini marafiki wangu wanasema nafanana nao(waarabu, ndio maana najiita mwarabu) anyway, my post is truthfull, (si mnajua tupo kati ya Ramadan, siwezi...
  5. M

    Wa deme wa Tanzania!

    Mambo Vipi! hii ni post ya kwanza kutoKea mimi. anyway, natoka france lakini na ishi dar kuanzia januari. kufika hapa niliona wa deme wenyu ni warembo sana! nataka kupata deme nzuri kumuita mwangu. lakini marafiki wangu mawili wakona opinions tofauti. wa kwanza alisema wa shosti wa Tz, or at...
Back
Top Bottom