Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake...
Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili
Sisi wanaume wa mikoani tunawadhatau sana watu wa Daa ambao wanajiita wanaume mfano huyu Tid nasikia bado anafugwa...
Ukiacha ubabe kwa watu wengine hao mapunga yeye awakatae lakini siyo kuwatukana watu wote ambao wanapingana naye. Mods wanajua kwa nini wanamemfungia na kuna uzi umeandikwa kuusu kufungiwa chzi maarifa . Ao mapunga ni jamii ya watu wazito sana ukiwachukia wanakutaka a na ukibisha unafungiwa. Mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.