• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by Mindi

 1. Mindi

  Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

  Tofautisha propaganda na sheria. Kwa mujibu wa taratibu za bunge, mbunge ana haki hizo. Ndugai anajiegesha kwenye agizo la rais kwamba sharti ikulu iruhusu. Bunge kwa mujibu wa katiba ni mhimili. Pia suala la Lissu ni tofauti kabisa na ya wabunge wengine waliotibiwa nje sababu hapa ni suala la...
 2. Mindi

  Kishindo cha Mbowe chatikisa bunge, Amtaka Waziri mkuu kutoa ufafanuzi juu ya Corona na Tume huru ya uchaguzi

  Na kadiri siku zinavyokwenda mbele, ndio anazidi kuwa lulu, mali tupu
 3. Mindi

  Serikali: Wakuu wa Mikoa na wilaya waache kutoa matamko kuhusu Corona

  Mbona tulishaona zamani tu? Bashite ni KAIMU WAZIRI MKUU MFAWIDHI MWANDAMIZI. Ni cheo kipya kabisa.
 4. Mindi

  Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi! Je, anahusika?

  Hapa sasa nimekuelewa vizuri sana. Ahsante Mkuu Paskali vkwa ufafanuzi kuntu
 5. Mindi

  Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

  Tundu Lissu anadai bunge fedha nyingi sana. Kisheria alitakiwa kulipiwa matibabu na matunzo. Ndiyo maana wanapiga danadana kupanga tarehe ya kusikiliza rufaa yake
 6. Mindi

  Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi! Je, anahusika?

  Kwa hiyo yakitokea mauaji, uchunguzi hakuna kwa sababu huyo aliyekufa ndio anajua kilichotokea? Tuseme ndio sababu hakuna kesi ya mauaji ya AKWILINA sababu hayuko hai? Naomba unifafanulie hapo maana mimi sijui sheria. Ila natambua kwamba suala hili la kushambuliwa Tundu Lissu, lina makandokando...
 7. Mindi

  Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi! Je, anahusika?

  Kwa kuwa ni kama faili limefungwa, kwa hiyo katika macho ya wakubwa, Lissu na dereva wake wamekufa?
 8. Mindi

  Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

  Sasa wewe ndio hukumwelewa Bashiru. Sikiliza tena clip ya mahojiano ya kipindi cha KONANI. Bashiru aliulizwa swali kwamba vyama vya upinzani vimezuiliwa kufanya mikutano, wakati CCM wanafanya mikutano waziwazi BILA KUZUILIWA na polisi. Upinzani wakijaribu tu wanakumbana na DOLA. Ndipo Bashiru...
 9. Mindi

  Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

  Ok, nieleze alichomaanisha
 10. Mindi

  Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

  Unatoa kauli kwamba CCM haina hofu. Mbona matendo yake ni tofauti kabisa na hiyo kauli yako? Hebu jenga hoja zako kimantiki. Nimekuchambulia hofu ya CCM kwa kauli rasmi ya CCM. Wewe unasema nisubiri? Nisubiri uporaji mungine wa CCM?
 11. Mindi

  Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

  Kipimo pekee cha imani hizi ni UCHAGUZI HURU NA WA HAKI. Ikitokea CHADEMA ikapata A CRASHING DEFEAT mbele ya CCM, hapo wala hapatakuwa na ubishi. Lakini kama Katibu Mkuu Bashiru anakiri kwamba bila mbeleko ya DOLA, CCM inaweza kuondolewa madarakani kama ilivyokuwa kwa KANU, hizi kauli za udhaifu...
 12. Mindi

  Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

  Tuseme kwamba uliyoandika ni sahihi. Sasa naomba unijibu hili swali. Ni kwanini CCM sasa hivi ina hofu sana katika uchaguzi? Hao wananchi unaodai wameiweka kando CHADEMA, mbona katika chaguzi huwa hamuwaamini kama wataonesha mapenzi yao kwa CCM na chuki yao dhidi ya CHADEMA? Dunia ilishuhudia...
 13. Mindi

  The enomist and the East African: Tanzania president John Magufuli is not terrorizing the oppositions, he is the really father of democracy

  Na kwa bahati nzuri hao mnaowaambia wanajua kila kitu. Ndio maana wamekata misaada yao. Mnajitekenya na kucheka wenyewe
 14. Mindi

  Father Charles Kitime aviasa vyama vya Siasa kupendana

  Yaani watu wa CCM bana, kiongozi wa dini akitukana upinzani au tu akisifia CCM, kama yule Kardinali Pengo, hafanyi siasa. SAFIIII. Lakini akiiponda CCM kwa maovu yake, ambayo yapo kweli, huyo hafai, ni mwanasiasa. Achague moja. Dini au siasa. WEZI WAKUBWA NYIE. Hawa ndio viongozi wa dini...
 15. Mindi

  CCM inaendelea na mikutano ili Corona isambae?

  Ni kweli, CCM wamewatia gerezani watanzania, na kujifanya wao ndio wanaamua kila kitu kwa niaba ya wananchi
Top