Recent content by Mind Game

  1. Mind Game

    Forex vs Betting

    so energetic
  2. Mind Game

    Forex vs Betting

    Trading is a lonely game Family may think you're wasting your time with a pipe dream "Friends" may clown you Everyday normal folks that are not in the game will believe you're just a gambler But you're not You're tapped in You found out where the money is And the fact that most normal...
  3. Mind Game

    Forex vs Betting

    Mkuu hii ni trading (betting) forex price.kwahiyo utulie tukutane tarehe tajwa hapo juu. IMEKUSHIDA WEWE BINAFSI,SIO WOTE.
  4. Mind Game

    Forex vs Betting

    Sasa unaona ulivyolisha ubongo wako vitu negative about this trading issue. Yani tayar una matokeo wakati hata process sijaanza. Ndo Maana nakwambia ukishindwa kitu kaa kimya wapo wanaoweza MREJESHO siku hiyo ndo utamua nilichokutana nacho kuwa nitrade for rest au vipi lakini ww kwasababu ya...
  5. Mind Game

    Forex vs Betting

    Note the date 24 /12/2025 utapata mrejesho
  6. Mind Game

    Forex vs Betting

    Mkuu natest kwanza mitambo kwenye demo utulie mkuu wewee roho ndogo pamekishinda
  7. Mind Game

    Forex vs Betting

    Duuu watu wapigaji huku kishenzi first 100 personal ndo wanaotakiwa kutoa 150$. Hiyo 150$×100=15000$ kwa hela za madafu million 40 Kama nakuelewa hivi huu utapeli wa kiwango cha SGR
  8. Mind Game

    Forex vs Betting

    Note the date mrejesho nitaweka hapa 24 December 2025 . Nilichokutana nacho huko palipokushinda ukabaki unalia lia
  9. Mind Game

    Forex vs Betting

    Nako kumbe kajiziiii kakutupwaa nimekuta kanauza signal kameshindwa kuzitumia kenyewe katengenez more money ,uhuni mtupu Kila mtu mwizi hukuuu kutrade watu wanaona kugumu mwendo wa mentorship ndo wanaharibu hawa
  10. Mind Game

    Forex vs Betting

    Kwa edge ninayo test mkuu minimum ni 1:5 kabla ya kuanza kubreak even we huu mziki umekushinda mkuu uwezo wako wa kuhimili mdg
  11. Mind Game

    Forex vs Betting

    Shida yako iko hapo kwenye kuloose ndo unachanganyikiwa hujui kuwa the Best loser Wini. Ni namna tu ya kuweka uwiano sawasawa
  12. Mind Game

    Forex vs Betting

    Risk rewards ya Gold Nimeweka 1:8 means lose 10$ upate 80$
  13. Mind Game

    Forex vs Betting

    Si unaona nimeingia mkuu mkuu kutest mitambo tena uzuri nimeingia before price move kwahiyo tuone hiyo mitambo
  14. Mind Game

    Forex vs Betting

    1:5 ratio
  15. Mind Game

    Forex vs Betting

    Ok ndo tunataka tuone kwenye hiyo Gambling katika trade 10 tunapata trade ngapi zikifika 2 tu ujue it's business
Back
Top Bottom