Recent content by mimireo

  1. M

    Nawapenda you real make some people change

    Yaah sio hatare you just think since that time without commenting and other staff to me is long time braza, samahani mimi sio mkuu ni mwanamke
  2. M

    Ni wife material ila hana hips

    And for good you have to leave her because uta mnyanyapaa sana katika maisha yake, mwache atapata wa kufanana naye may be you were not born for her, usimnyanyapae please, unaweza kuona hata wewe huna kifua au.......... thats not good
  3. M

    Ni wife material ila hana hips

    Duu kaka hutajitambua unahitaji kutulia ujue maana ya mke, hata angekuwa na hips ungeona dosari nyingine ungelalamika pia, jitambue kaka yangu hivyo vingine ni vya kupita tu hapa duniani, na vina mwisho, wish you good end
  4. M

    Nawapenda you real make some people change

    Asante sana nimekaribia
  5. M

    Nawapenda you real make some people change

    Habari zenu jamani, ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi pia sijambo; mimi ni member wa mda mrefu lakini mara nyingi nilikuwa si mwongeaji bali nimekuwa nikijifunza kupitia post tofauti tofauti. Real other guys meant alot what they are doing " you real make some people change. Asante...
  6. M

    Natafuta mchumba/mme

    Habari zenu wote, nina miaka 33 nina watoto wawili wakike, nina elimu ya diploma nategemea kujiunga na degree, nitafuta mchumba ambeye baadaye atakuwa mume, kama nitapata aliyeokoka nitashukuru, asante nawatakia siku njema
Back
Top Bottom