Recent content by Miminawewe1963

  1. M

    Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

    Mshirikina anaenda kwa mganga na anae kupeleka na huyo mganga pia mshirikina. Wacha kabisa tabia za kuamini na kufuata washirikina fanya ibada muamini Allah Kareem atakuonyesha njiawa njema. Muombe yeye Rahman muongozo mzuri atakuongoza usimtegemee binaadamu mwenzeo
  2. M

    Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

    Inasikitisha saaaana huu ni Usheitani mkubwa apatiwe adhabu kali mshenzi Mkuu
  3. M

    Tunamshauri arudiane na mkewe: Waliachana baada ya mume kuzaa nje ya ndoa

    Heshima ni kitu muhimu saaaana huyu Brother Hana adabu na kakipata kapoteza vitu vya maana ktk maisha yake. Alikuwa gizani katupa Almasi akaokota mawe shauri ya kiburi
  4. M

    Kwanini ubakaji unaendelea?

    Kila kukicha utasikia mikasa ya ubakaji na unyanyasaji. Hivi kwanini ufikie hatua ya kubaka? Una ugonjwa wa akili au unatumia bangi? Wanawake wamejaa na wametuzidi hata kwa idadi kwanini usiombe vizuri ukinyimwa tafuta mwingine. Wengine wanafikia hatuna ya kubaka watoto wadogo au vizee, hii ni...
  5. M

    Punyeto imeua uume wangu

    Inatosha uliyofanya sasa ikusaidie kukojowa tu
  6. M

    Wasichana wa kazi wa Malawi wateka nafasi za kazi za ndani Tanzania

    Bidii ya kazi na kutotowa maneno au matusi machafu muhimu saaana. Mvivu mtomvu wa adabu nani atakuvumilia? Hata wazazi wako hawatokuvumilia
Back
Top Bottom