Recent content by mimiamadiwenani

  1. M

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Nimeelezwa Kufuatia Damu Nyingi Kumwagika, Hakutakuwepo Tena na Matukio ya Wasiojulikana!

    Kiranga, naomba unijibu swali hili. Wakati ule Hayati JPM anaingilia kwa nguvu account za watu na kuchukua pesa ama kuzishikilia, unaweza kumpongeza kwa jambo lile? On your own point of view?
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushahidi wa mauaji kwa watu wasiohusika na maandamano

    Kuna kafara ya Taifa kumbe? Is it real?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

    Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Chutama tafadhali.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jose Chameleone asikitishwa na mke wake kudai talaka na mgawanyo wa mali

    Nikiwa tajiri kuoa ni lazima.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

    Una akili sana. Umekwepa mtego wa kuwa 'rafiki wa faida'😂
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bwana yule alikuwa smart sana!

    Kwema 'Directors'? Kitendo cha Bwana yule kumzidi kete bosi wake wa wakati huo na kufanikiwa kupenya na kupeperusha bendera, kinaonesha Bwana yule alivyokuwa mjanja(smart)! Ama kwa hakika, alikuwa jogoo la shamba lililowika mjini. Alikuwa mkulima aliyevimba mbele ya watoto wa mjini na...
Back
Top Bottom