Ikumbukwe wakati akiingia madarakani kupitia CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO alimtoa diwani wa Ccm aliyependwa sana na wanakiwele na alikua kaleta maendeleo makubwa sana CHADEMA walifanya jitihada kubwa sana watu waliumia kwa kumpigania usiku na mchana LAKINI AKAJA KUSALITI CHAMA MCHANA WA JUA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.