Recent content by MIMI BABA YENU

  1. MIMI BABA YENU

    GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    1. Nitazindua Rasmi mfumo wa Bima ya afya kwa wote (wazee, watoto, wamama wajawazito na walemavu), pia serikali itagharamia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vikubwa kwa wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyo ambukizwa ( saratani, figo, moyo, sukari, mifupa na mishipa ya fahamu. 2...
  2. MIMI BABA YENU

    Uteuzi 2025: Bashe na Safu ya Wabunge - Mapinduzi Baridi Dhidi ya Mama Samia Ndani ya CCM?

    Mtandao Wazua Hofu Wakati upepo wa siasa za CCM ukielekea uteuzi wa wagombea 2025, jina la Hussein Bashe na harakati zake za kupanga safu yake ya Wabunge linatajwa kila kona. Inadaiwa amepanga safu ya wabunge katika majimbo 210, huku 178 wakibaki orodhani bila Mwenyekiti kujua. Inasemwa...
  3. MIMI BABA YENU

    Chadema kuzuiwa kufanya mikutano na shughuli zote kisiasa wamlaumu Jebra Kambole

    Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni. Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  4. MIMI BABA YENU

    Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari ni Chadema kujichanganya kisheria. Usiri wao utawagharimu

    Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam. Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
  5. MIMI BABA YENU

    Ajenda ya No Reforms No Election inawapiginisha Chadema katika mikutano ya hadhara

    Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara. Chokochoko zilianza kwenye...
  6. MIMI BABA YENU

    Lissu Anapokuwa Mwanasheria Anayedharau Sheria, Wingi wa Mawakili Hautamsaidia

    Johnson Mgwabati Mtaalaam mmoja wa sheria Albert Venn Dicey aliwahi kutafsiri dhana ya Utawala wa Sheria (Rule of Law) kuwa ni “kufuata sheria kama zilivyo.” Lakini bingwa mwingine wa masuala ya uendeshaji wa makosa ya jinai, utetezi na ushahidi, Prof Abdallah Safari, anasema katika andiko...
  7. MIMI BABA YENU

    PreGE2025 Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha Karua kuzuiwa kuingia Tanzania

    Msemaji wa serikali Isaac Mwaura amesema Tanzania ilitenda kwa mujibu wa haki yake ya uhuru kwa kuwafukuza watu kadhaa wa kisiasa na wanaharakati wa Kenya, na kuongeza kuwa Kenya haikuwa na jukumu katika uamuzi huo. Mwaura alikuwa akijibu kufukuzwa kwa kiongozi wa Chama cha Ukombozi wa Watu...
  8. MIMI BABA YENU

    PreGE2025 Kikao cha watia nia CHADEMA Ikungi-Singida chavunjika, vurugu zarindima

    Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri. Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika. Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.
  9. MIMI BABA YENU

    Tanzania yapanda katika viwango vya uhuru wa Vyombo vya Habari duniani

    TANZANIA imepiga hatua katika viwango vya kimataifa vya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa kupanda kutoka nafasi ya 97 mwaka 2024 hadi nafasi ya 95 mwaka 2025. Kwa mujibu wa Ripoti ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (Reporters Without Borders – RSF) iliyotolewa tarehe 2 Mei 2025, licha ya...
  10. MIMI BABA YENU

    Serikali iwe macho sana na Lissu na watu wake

    Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS). Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April...
  11. MIMI BABA YENU

    Mmekuwa watu wa kucheza na dola mkijua Rais Samia atakuwa mtu wa kuwafutia kesi!

    Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuingia madarakani mwaka 2021 na kuombwa sana na Wanachadema na makundi mbalimbali kwenye jamii kuhusu kufutiwa kesi ya Ugaidi iliyokuwa inamkabili Mh Freeman Mbowe na wenzake,kwa hekima kubwa na kulinda 4R's zake alifanya hivyo! Kupitia kwa Mzee Jakaya Mrisho...
  12. MIMI BABA YENU

    Kanisa Lenye "Ndimi" nyingi linapaswa kuamimiwa?

    Kanisa LENYE Maadili ni nguzo muhimu katika ujenzi wa Taifa imara lakini Kanisa LENYE NDIMI NYINGI ni hatari sana kwa Usalama wa Nchi!Kanisa linalobeba maslahi ya kisiasa kwa kuhakikisha "linawaprotect"waumini wake hata kama ni Wahalifu ni hatari sana kwa Usalama wa Nchi! Kanisa la Katoliki...
  13. MIMI BABA YENU

    Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon

    George Michael Uledi! No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka...
  14. MIMI BABA YENU

    Mikutano ya Vyama vya Siasa vinapaswa kufuata sheria na taratibu za mikutano

    Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar 25/3/2025. Ni kweli kabisa Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti bara Mhe. John Heche...
  15. MIMI BABA YENU

    Siri isiyosemwa kuhusu kubadilishwa jina kwa kampuni ya simu ya Tigo kwenda Yas

    Dunia imewahi kushuhudia mradi mmoja wa "hovyo" sana uliokuwa unaitwa "YAS Project",ambao ulikuwa na malengo maalum ya kuwasaidia LGBTQ maarufu hapa kwetu kama "mashoga" wasio na makazi! Kwa mujibu takwimu za Utafiti wa LGBT+ PRIDE 2021 GLOBAL SURVEY, zinaonyesha kuwa, (I)66% ya WaBrazil...
Back
Top Bottom