Recent content by Milugwi

  1. M

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Jamaani rusheni vitabu, tuhamasishane kusoma vitabu
  2. M

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Nahitaji hii AUDIO ya THINK AND GROW RICH
  3. M

    Nataka kuacha kazi/kuajiriwa ili nijiajiri

    Nimeipenda thread hii,kwa sababu nina ndoto kama hii. Itendee haki ndoto yako, nasi tutajifunza mamno mawili matatu toka kwako. Mwenyezi mungu akufanyie wepesi katika safari yako ya mafanikio ya kujiajiri. NB: CHUNGA SANA USIKATISHWE TAMAA.
  4. M

    Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

    Ni kweli eneo kubwa linafaa, lakini kwa kuanzia heka 1.5 inatosha kwa chekechea na Tuition. Mambo yakiwa mazuri nitahamia ktk eneo jingine ambalo liko nje kabisa ya kijiji(bado pako pori) ambapo nina heka za kutosha tu.
  5. M

    Katika maisha lilia bahati, Ona vijana wadogo wanavyoongoza makampuni makubwa!

    Yap, hapo unamaanisha kuwa kazi ni kazi tu no matter umeajiriwa au umejiari kinachotakiwa ni discipline katika kazi.
  6. M

    Katika maisha lilia bahati, Ona vijana wadogo wanavyoongoza makampuni makubwa!

    Kinachotakiwa ni mtu binafsi kuona how much unaingiza kwa siku. No matter umeajiriwa au umejiari, usije kataa kazi kwa mfano ya kulipwa Tsh 50,000/- kwa siku kwa sababu tu unamiliki kibanda cha mama ntilie kinacho kupa Tsh 20, 000/-. Kimsingi uwe unamili kampuni au umeajiriwa zote ni kazi tu...
  7. M

    Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

    Eneo lipo Misugusugu-Kibaha kijijini kabisa ambapo pana watu wa kutosha na nilivyo wachunguza wana pata shida ya kuwapeleka mbali watoto wao kupata elimu ya chekechea.
  8. M

    Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

    Asante sana MALILA; Kwa ujumla nilishapata kama heka 6 nje kidogo ya pale niliponunua heka 1. Kwenye heka moja ni kijijini kabisa ambapo watoto watakuja na kurudi nyumbani kwa miguu (kwa kuanzia).Ninachotakiwa sasa ni kujenga darasa moja ambalo litakuwa multi-purpose kwa chekechea, msingi au...
  9. M

    Darasa la ujasiriamali

    Asante Kdany kwa kuonesha nia ya kutoa maarifa ya ujuzi kwa vijana wenzako ambapo na wewe unajipatia ujira kidogo. Binafsi nimekuwa nikisaka kila kona mafunzo ya aina yoyote ya ujuzi wa kuzalisha bidhaa aina yoyote ambayo itanisaidia kuongeza kipato changu. Katika taarifa yako, kitu...
  10. M

    Self employment opportunity in networking marketing business

    Kinachoshangaza wanatumia nguvu nyingi sana, halafi kama kwa nguvu hivi. Kama hii biashara inalipa kwa haraK mpaka kupelekea mtu kutajirika kwa haraka, nadhani watu wengi sana wangejiunga na kupigiana mapende ili wa win zaidi. Halafu pia ukiufutilia mlolongo wake ni kama inaweza kufika wakati...
  11. M

    Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

    Asante diranqhe. Nitajitahidi, ila umesema shule ina mambo mengi, yapi hayo? Ukitoa gharama za uendeshaji (yaani mishahara ya walimu na walinzi max. 3)
  12. M

    Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

    Nawaomba ndugu zangu SAYAYA, NAPENDA na HITLER, kabla ya ku-comment maoni yenu nitangulize shukurani zangu kwenu kwa kunipa moyo/maoni mazuri ya kufanya haya mambo ya ujenzi wa shule yangu. Asanteni sana na mungu awabariki katika kazi zenu mnazofanya. Kwa ujumla naendelea vizuri na heka heka...
  13. M

    Malengo Makuu ya Maisha

    Utafutaji wa maisha mazuri unategemea sana na waliokutangulia yaani wazazi. Miaka 18 katika familia zingine kijana hata F 4 anakuwa hajamaliza. Cha msingi hapa kila kijana anatakiwa kuanza maandalizi ya maisha yake anapofikisha miaka 12. Hapa namaanisha, kijana anatakiwa kuelekezwa...
Back
Top Bottom