Recent content by Milonji

  1. Milonji

    Watanzania hawawezi kupuuza alichokisema Polepole juu ya mifumo ya INEC kuchakachuliwa maana hata yeye alishashiriki haya maovu

    Mimi pia siwezi kupuuza. Labda nipate jibu la haya Maswali; 1. Kwa Nini CCM wanapokupa Kadi huwa wanachukua na Namba yako ya NIDA?. 2. Kwa Nini Mamlaka ya NIDA haijawahi kukemea au Kupiga marufuku jambo hili licha kuripotiwa mara kadhaa?. NRNE
  2. Milonji

    Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?

    Binafsi Pole Pole nimemuelewa vizuri kabisa. Kuna siku walikuja watu wa CCM wakitaka kuniandikisha ili wanipe Kadi, Sasa kilicho nishangaza walikuwa wanataka na Namba ya NIDA. Nilipowauliza Namba ya NIDA na Kadi ya CCM vinahusianaje wakashindwa kunijibu. Nikawaambia sihitaji na Kadi yao...
  3. Milonji

    DOKEZO Naomba TAKUKURU iwachunguze Viongozi na Wafanyakazi wa NSSF Dodoma maana binafsi nahisi Kuna viashiria vya Rushwa

    Hawa Jamaa nahisi huwa wanapewa Rushwa. Baada ya kufuatilia mguu kwa mguu hatimaye mwajiri amepeleka michango yangu.
  4. Milonji

    PreGE2025 Mavunde: Nawapatia Bima ya Afya Walimu wangu, atangaza Miradi ya maendeleo Mazengo

    Ha ha haaaa... Huyu Mh. Mavunde ni tapeli kabisa.. Walimu mbona wanazo bima. Badala ya ku-deal na shida ya Maji pamoja na Migogoro ya Ardhi iliyoshamiri Kila Kona ya Jimbo la Dodoma yeye anakuja na porojo.
  5. Milonji

    DOKEZO Naomba TAKUKURU iwachunguze Viongozi na Wafanyakazi wa NSSF Dodoma maana binafsi nahisi Kuna viashiria vya Rushwa

    Wakuu habari za Leo? Naomba kwanza kusema ya kuwa Mimi nilikuwa ni Mwajiriwa wa Kanisa la Anglican Tanzania na nilikuwa nikifanyia Diocese ya Central Tanganyika (DCT) pale Dodoma. Nimefanya nao KAZI kwa muda mrefu takribani Miaka 15+ kwa mkataba mfupi mfupi mpaka pale wao (DCT) walipoamua...
  6. Milonji

    Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

    Shida yangu ni kujua, Je protocol inamruhusu?.
  7. Milonji

    Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

    Nilitamani kujua, ili niongeze maarifa maana sijawahi kuona Mke Raisi akiwa na Mh. Raisi mbele ya hadhara aki-chat na Simu.
  8. Milonji

    MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    Mc Pilipili ni kama Pilipili. Namfahamu tangu akiwa kijana Mdogo. Siku mkewe akifunguka sababu ya Kuachana tutabaki wote midomo wazi. Note my word.
  9. Milonji

    Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

    Nawasubiri Mkuu
  10. Milonji

    Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

    Wapendwa habari? Naangalia hapa kupitia ZBC Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Daktari Hussein Ali Mwinyi akiwa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirizi Pemba. Mh. Raisi anapata burudani kutoka vikundi mbalimbali huku pembeni yake akiwa na Mke wake. Kilichonishangaza ni...
  11. Milonji

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba niwakumbushe tena juu ya hili Jambo. Naomba niwakumbushe tena TANESCO juu ya hili Jambo màana watu wanateseka sana. Fanyeni uungwana kwa kuwalipa watu madai Yao ili wakasake maisha Mengine au kama hamna fungu la kulipa Rudisheni Ardhi kwa Wananchi ili ikatumike kwa Uzalishaji. Hawa...
  12. Milonji

    Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA

    Nyaraka anazo. Nimeishia 9,500,000/=
  13. Milonji

    Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA

    Habari zenu, Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA. Kipo Mahali pazuri sana, nimekiona na nilitaka kununua ila tumepishana bei kidogo. Ukubwa ni SQM 541 Jamaa kakomaa bei 11,000,000/= Karibu Inbox nikupe namba ya Mhusika.
  14. Milonji

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO narudia tena, Walipeni hawa Ndugu Stahiki zao au mnataka kufanya Malipo Bwana akisha watwaa kama ilivyotokea pale sub-station kwa Baadhi ya waliokuwa wanadai na kama hamna Fedha ya kulipa waambieni Wananchi ukweli. Maeneo yametengwa tangu 2018 Uthamini umefanyika 2021 Uhakiki...
Back
Top Bottom