Recent content by MILITARY

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

    Hoja yako kama ulisoma History vizuri hukua na haja ya kuuliza haya kwenye sensa karne hii. Na swala la udini kwenye sensa hapana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Ngorongoro yasipodhibitiwa yaweza kuzua maafa

    Nyie ndio huwa mnakuja na story za kijiweni nenda ujifunze tamaduni za wamasai vizuri kuishi na wanyama pori miaka na miaka kama huwa wanakula nyama pori. Ndio uje utoe comment
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

    Hapo ndio ujue kaanza kutumia utumbo kufikiria.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amegeuza upepo wa MSD kwa kumteua Mavere Tukai

    Huu ndio ukweli halisi aisee
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

    Unafikri hizo tuzo ni za kuamka tu nakupewa. Angalia waliwahi kupata wanasifa zipi katika mataifa yao kwanza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

    Hii ndio unaona ni tatizo na ukaijengea na mada kabisa. Nikajua jamaa kaharibu kwenye protocal za kibalozi kumbe ni maisha ya mtu binafsi. Leta zile mada za kuruka na ungo ndio nzuri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

    Well said hapo kwenye vyama vya wafanyakazi ni wizi tu mtupu na hawana tija kwa mfakanyakazi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Ukiona mtu anatukana kaburi ujue akili ishapotea
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Umeelewa alicho ongea Makongoro au unakimbilia kutafsiri ulevi. Angalia content ya mada yake ndio uelekee kwenye ulevi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Akili ndogo wew,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Kwa akili yako ya kuweza kusoma na kuandika unaona hiyo report iko sawa kwa hiyo tuamini
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itolee ufafanuzi Mwanajeshi wetu wa JWTZ aliyeuawa huko vitani UKRAINE

    Hata kama ni kutengeneza mtaani unajua athari zake katika diplomasia kama Urusi wakiamua ku react juu ya hilo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, MSD ifumuliwe na kusukwa upya kama tulivyofanya TANESCO ili iendeshwe kwa tija

    Poor poor poor kwa sauti ya Steve Nyerere
Back
Top Bottom