According to the research that i have conducted for almost three months, i have evidenced that prosititution in our countr is more economical,i used to visit some of the areas where prosititutes sell themselves,fortunately i discovered that some of them are wives of richmen and others are...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wazi.
Kwa jina naitwa Milembe Anthony-24 yrs.
Pia ni mawanafunzi wa shahada ya kwanza katika elimu na utawala chuo kikuu cha mzumbe kampasi kuu Morogoro najitokeza mbele yenu ndugu jamaa na marafiki popote pale mlipo mnisaidie.
Natafuta mchumba wa jinsi...
Hey,walimu wenzangu majina ya vijana walioomba kujiunga na vyuo vya ualimu kwa mwaka wa masomo 2014/15 majina yako hewani,lakini kuna mabadiliko mengi kuhusu uchaguzi huo,pia kuna mpango wa kufuta ualimu ngazi ya cheti kwa masomo ya sanaa na wanampango wa kubakisha masomo ya sayansi na lugha tu...
Hey,kaka nakupongeza sana kwa ushauri huo,mwaka jana pale mzumbe kampas ya morogoro baadhi ya wanafunzi walipoteza na kuibiwa vyeti vya NECTA baada ya kuwaamini wanafnzi wenzao wasiowajua wala kuwafahamu wanakokaa,so my dear scholars watch out and make a clear follow up of what we are saying
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.